Hata kama wakijua kunakibaya kipi apo ambacho mm nimeongea nimemtukana mtu si nimeshare maisha yangu mm niliyopitia au kuandika kwamba mm ni mtumishi wa Jiwiii ndo shida mkuu sheria za jeshi nazijua kusema mm askari co kosa kwny mtandao labda ningepiga picha na nguo za kazi nika zipost humu jf...
Mimi nililelewa na Single dady,mshua alinilea kisela sela sana kwetu tulizaliwa 10 mm ndo wa mwisho kwa dingi ila kwa mama wa kwanza dingi alikuwa na wake wa nne kwa mama yangu nilikuwa peke yangu ila badae mama alipata mtoto mwingine ambae ci wa baba alipata mimba baba akiwa kikazi Urusi...
Mdau story yako imenikumbusha mbali sana kipindi iko nimetoka likizo Songea job naelekea Home Dar kumcheki bi mkubwa sasa wakati niko njiani mshikaji wangu Frenk akanipigia cm oi niaje chiko nikamwambia frsh.
Akasema uko wapi??nikamwambia nipo njiani narudi lkzo home dah akasema oi pitia Njombe...
Mbn hata nyie wanawake huwa mnarudi sana mfano mm mwanamke wangu aliniacha eti kisa tuu nimenda jeshini bada ya miaka mitatu kuwa officer wa Jeshi now ananisumbua virungu kibao mara oooh cjui cna ajira cjui chiko nikope laki 3 nitakurudishia cjui Chiko nataka nisome law school unanishaurije cjui...
Hahahahaha c aina madhara ulisema wewe eeeh umekutwa na nini na bashiri utakuwa umekutwa na mambo haya.
1)Kurunge alidindi.
2)Kama una dinda bac ukipiga bao moja tuu tena unachukua dk 1 au 2 bac kurudia bao la pili mpaka kesho yake.
3)Utakuwa umepata demu anayependa sana sex ila ww uwezo wa...
Jf kila mtu ni mtu mjuaji,amefanikiwa,ana nyumba na magari,kaenda age wengi kila utakae muuliza ni kuanzia 35 kwenda juu umri,kila member ana elimu kubwa kuanzia degree au masters,Phd wengi wanajikuta ni ma master mind.#fake life#fake life style.#
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.