Recent content by chikakati

  1. C

    CUF na NCCR kupasuka Vipande

    Yaani, nashindwa kuelewa ni kwa jinsi gani CUF na NCCR_Mageuzi wamejiondoa ufahamu kiasi hiki. Sijui nani kawaloga! Mbona haihitaji degree kwa mtu yeyote kuuona mwisho wa hivi vyama? ? Makaidi yeye hana cha kupoteza kwani kuwa ndani ya UKAWA kuna mjenga yeye binafsi Na wala so chama chake...
  2. C

    AG Masaju, ndiye mtumishi pekee katika Serikali ya Kikwete asiyepokea rushwa!

    Ile ni mashine kaka. .ni mchapa kazi na mtu mwenye hofu ya Mungu kwelikweli. ..
  3. C

    Mbasha: Gwajima niachie mke wangu (gazeti la uwazi)

    Tangia huyu gwajima atoe yale maneno ya kipunguani ambayo ni mwendawazimu pekee anaweza kuyatamka, hivi sasa namshangaa mtu yeyote anayemtanabaisha gwajima kama mtumishi wa Mungu. Hata hiyo sifa ya kuwa mkiristo wa kawaida hana, sembuse ya utumishi wa Mungu! !!'
  4. C

    Nauza vifaranga vya kanga weupe na vya bata mzinga vya siku 1.

    Kaka, nambie kwa mimi mkazi wa Dodoma, naweza kupataje vifaranga hivyo.....
  5. C

    Kutoka Magazetini: Majambazi yakamatwa

    Hivi hili neno "nyumba ya ibada " maana yake nini?? Kwa nini isisemwe waziwazi zimepatikana kanisani au msikitini? Kwani haijulikani hiyo nyumba ya ibada inatumika na dhehebu gani?? Je, ni nini kinachofichwa hapa?? Je, inavyofichwa hivi si ndio kulea matatizo??
  6. C

    Vuguvugu CUF: Prof. Lipumba hatihati kuvuliwa Uongozi

    CUF kama kuna kosa mtakuja lijutia maishani, ni kuuza uhuru wenu kwa Chadema kwa kisingizio cha UKAWA. CHADEMA wamewatega nanyi mmetegeka, mtakumbuka shuka tiyari ishafika saa moja asubuhi. ..ghalaghabhao. ..
  7. C

    Swali kwa Gwajima: Tuendelee kula malimao?

    Kitendo cha Gwajima kujipambanua kama mtabiri, mtabibu, nabiii na mfuasi wa Lowasa kwa kiasi kikubwa kimeathiri Lowasa kuingia Magogoni. Hii ni kwa sababu watu wote wenye akiri akiwemo JK, Mkapa na Mangula watakuwa wameona ni uchuro kuchaguliwa Rais na mtu ambaye fyuzi za ubongo wake zina...
  8. C

    Nahitaji kujua nauli toka Tanzania kwenda Dubai

    Kama ni Dar- Dubai, kwa kutumia flydubai ni usd 399 tu kwa return ticket. .
  9. C

    Nahitaji kujua nauli toka Tanzania kwenda Dubai

    Unasema kutoka Tanzania sehemu gani kaka? ? Au ulikuwa na maana ya kutoka Dar- dubai
  10. C

    Profesa Muhongo kugombea ubunge Musoma Vijijini

    Jimbo la Musoma vijijini tunae mbunge wetu tiyari, Antony John Mtaka. Kijana mchapakazi ,mwadilifu na mkombozi kwa wana wa nyanja wote. Hatuna tatizo na Prof Muhongo, lakini sahihi kwake kugombea ni Musoma mjini ambako nako tunamhitaji zaidi. Go Antony go, go Musoma vijijini inakuhitaji sana.
  11. C

    Ajali Mbinga-Ruvuma: Gari lapata ajali na kuua Padre mmoja na Makatekista sita

    Poleni sana wafiwa na Mwenyezi Mungu awape raha ya milele marehemu wote na mwanga wa milele awaangaze. Wapumzike kwa amani, Amina. Hatahivyo naomba kusahihisha kidogo, katika Kanisa Katoliki hakuna makatekista wanawake, hivo kusema wamekufa makatekista 6, wanawake 2 na wanamme 4 siyo sahihi...
  12. C

    Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Mie naona kumwita huyo gwajima mhuni, zezeta au hata msukule bado ni kumpendelea. Yeye no zaidi ya hayo majina. Naamini hata mvuta bhangi wa kawaida asingewezayasema hayo, sembuse yeye anayejipambanua kama mtumishi wa Mungu.. Simtetei Pengo kwa alichokisema lakini majibu ya gwajima ni ya...
  13. C

    Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Kama kweli hiyo audio ni ya huyo mtu anayeitwa Gwajima, namshauri Mwadhama Kadinali Pengo asijibizane naye. Ni kichaa aliyevuka wendawaximu wa kawaida. Na kwa hakika huyu, hana hata chembe ya ulinganifu na Kadinali Pengo, iwe kwa heshima mbele ya jamii, uchaMungu na hata akili au hekima ya...
  14. C

    `Sasa Unaingia Mkoa wa Mara Be Strong`

    Hatukubali kibao hicho kiondolewe au hata kubadilishwa. Hiyo ndo Identity yetu wana Mara.
  15. C

    Mbunge Mkono kwa heri jimboni

    Jimbo la Musoma vijijini, tuna mgombea tunayemtaka, naye ni Anthony J.Mtaka. Hakuna habari ya Yusuph wala Mkono. Wasisumbue mda wao.
Back
Top Bottom