Manumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 1,746
- 1,283
Kazi atafanyiwa kazi asipokuwa makini. Azingatie masharti ya kisheria katika uchaguzi
Mkono atakuwa kwenye wakati mgumu uchaguzi ujao kama atagombea tena. Itakuwa sio kati ya Mkono na wapinzani bali na Escrow pia. Mafisadi wenzake watamwaga pesa kuhakikisha anaumbuka kama alivyochangia kuwaumbua.
And too bad for him, ana mtu sasa hivi wakumsaidi kununua mgombea wa upinzani.
Jimbo la Musoma vijijini, tuna mgombea tunayemtaka, naye ni Anthony J.Mtaka. Hakuna habari ya Yusuph wala Mkono. Wasisumbue mda wao.
kwani upinzani chama cha mbowe pekee?Kwani kile kiapo alochokula Mbowe kiwa katu hataweka upinzani Musoma Vijijini kilikuwa ni kwa uchaguzi wa 2010 pekeyake?
tuthibitishie mkuu!Huyo Anthony Mataka anapitia tikiti ya Jahazi Asilia au? Maana wakuu wa CHADEMA walishakula fweza na kuapa hawaweka upinzani
mkono ni mafisadi walewale.Mkono kipindi kile alikuwa hoi bila ushawishi wa ZZK kuuza jimbo asingekuwepo Bungeni, Je, Walijua sakata la Mkono kumpa ZZK magari mawili?
teh teh, nasikia pia naibu katibu mkuu wa cdm aitwaye zitto kabwe alihongwa magari mawili na mkono. Nimeamini pesa ni kila kitu.we hujui mbowe na mkono ni maswahiba, Uchaguzi uliopita Mbowe alihongwa milioni 20 na Mkono akapiga marufuku Chadema kusimamisha mgombea.
Kuna kila dalili zinazoonesha wazi kwamba wananchi wa Jimbo la Musoma vijijini (kwa sasa Jimbo la Butiama)hawatamchagua tena Mbunge wao, Nimrod Mkono. Kisa wananchi wanalalamika kawatelekeza kuboresha huduma muhimu za kijamii ikiwemo sekta ya maji na afya kwa akina mama.
Anayetajwa zaidi kwa sasa kumrithi Mkono ni Yusuph Kazi wa CHADEMA. Yetu macho na masikio, lakini waliopo huko Musoma wanaweza kutujuza kwa usahihi zaidi katika hili.
Mkono atakuwa kwenye wakati mgumu uchaguzi ujao kama atagombea tena. Itakuwa sio kati ya Mkono na wapinzani bali na Escrow pia. Mafisadi wenzake watamwaga pesa kuhakikisha anaumbuka kama alivyochangia kuwaumbua.
And too bad for him, ana mtu sasa hivi wakumsaidi kununua mgombea wa upinzani.
Jimbo la Musoma vijijini, tuna mgombea tunayemtaka, naye ni Anthony J.Mtaka. Hakuna habari ya Yusuph wala Mkono. Wasisumbue mda wao.
Ndg, wanajamvi
NI KWELI MKONO HAWEZI KUSHINDA HATA KIDOGO ILA HATA YUSUPH KAZI KWA TAALUMA YAKE YA DARASA LA SABA, ULEVI ULIOPINDUKIA NA UWEZO WAKE MDOGO WA KUJENGA HOJA JUKWAANI HAWEZI KUPITISHWA NA CHADEMA, BUTIAMA INA WATIA NIA TAKRIBANI WATANO KWA TIKETI YA CHADEMA ILA MWENYE SIFA ZA KITAALUMA NA UWEZO WA KUJENGA HOJA MADHUBUTI NA ANAEJUA KHALI HALISI ZA BUTIAMA KATI YA WATIA NIA WATANO NI KIJANA MARWA JOHANES MARATO AMBAYE KIUKWELI HAJISIFII ILA AMEWEZESHA CHADEMA KUPATA VIJIJI VINGI AKISHIRIKIANA NA KAMATI TENDAJI, WASIFU WAKE NINAVYOMFAHAMU NI KAMA IFWATAVYO:
Marwa Johanes Marato ni mzaliwa wa kijiji cha Sirori Simba kata Sirori Simba wilayani Butiama mkoani Mara.
ELIMU YAKE:
- Shule ya Msingi: Nyambili, Nyambili
- Shule ya Sekondari (O-Level): Kiagata Sekondari, Butiama
- (A- Level): Old Moshi High School,Kilimanjaro
- Alijiunga na chuo kikuu cha SUA na kuchukua shahada ya Science na Teknolojia ya Vyakula, BSc(Food Science&Techn.)akahitimu mwaka 2011 na kuajiriwa kama Mkemia mwandamizi Kiwanda cha Bia Serengeti jijini Mwanza
- Mwaka 2014 alitunukiwa Shahada ya Uzamili katika masomo ya Afya ya Jamii, yaani Master of Public Health, Chuo kikuu cha kikatoliki, Bugando jijini Mwanza
- Anafanya kazi kwa kujitolea kwa Shirika lisilo la kiserikali (Light dream Organization) kama Mhamashishaji wa jamii kuhusu ushiriki kwenye miradi ya afya)
- Ni mwanachama wa Chadema tangia mwaka 2009 na ameshiriki uchaguzi wa mwaka 2010 na kuhakikisha Kata yake ya SiroriSimba na Vijiji vyake kwa mwaka 2014 vinaongozwa na Chadema katika harakati za Ukombozi wa Taifa.
UZOEFU:
- Amewhi kushika nyazifa mbali mbali katika tasisi za kitaaruma ikiwemo Spika wa bunge serikali ya wanachuo SUA, Katibu Mkuu serikali ya wanafunzi Kiagata Sekondari na Katibu Mkuu Mwena Old Moshi sekondari.
- Anao uzoefu wa maswala ya utafiti katika maswala ya usalama wa vya kula na afya kwa walaji kutokana na kufanya tafiti zinazojikita katika maswala ya afya.