Recent content by chikakamichael

  1. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri wakati wa mkutano wa mkurugenzi mkuu wa mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF)

    Yani NHIF wamefanya mambo mengi sana tena ni mazuri kwel..Sasa hivi vitu kwa watu wachini wakiwa wanaangalia wanaweza wakaendelea kulalamika kwasababu mtu anangalia hizi huduma nitazipataje..kiualisia silahisi kupata huduma kama huna bima maana ni ghali kwel. Watu wanategemea kuambiwa kwa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda: Natamani Katiba ya Tanzania ibadilishwe, ili Rais Magufuli aongezewe muda zaidi

    Acha atumie haki yake ya kuongea
  3. C

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa HIV na Hepatisis B

    a sante kwa kutujuza
  4. C

    JamiiForums Tanzania Flyover ya Ubungo ya kishamba sana

    hakuna mtu anayeponda huo ujenzi na utasaidia sana...lakini acha watu waendelee kusifia lakini moyoni wanajua kwamba design ya pale ni mbaya bora ile ya kwanza ingefanyiwa modification kidogo....kile kitu kinachojengwa pale sio arficial kwamba miaka miwili mbele unakiamisha....
  5. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri wakati wa mkutano wa mkurugenzi mkuu wa mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF)

    Yani NHIF wamefanya mambo mengi sana tena ni mazuri kwel..Sasa hivi vitu kwa watu wachini wakiwa wanaangalia wanaweza wakaendelea kulalamika kwasababu mtu anangalia hizi huduma nitazipataje..kiualisia silahisi kupata huduma kama huna bima maana ni ghali kwel.. watu wanategemea kuambiwa kwa...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Singida: Watu wafukiwa na kifusi kwenye machimbo ya Sekenke One

    Poleni sana kwa wahanga...Tunamwomba Mungu awanusuru waokolewe
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tumeandikiwa dawa lakini hatujui tatizo nini, hospitali wanaficha

    Rudi hospital mapema huwezavyo akafanyiwe uchunguzi zaidi..maana sio dalili nzuri
  8. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kijana wangu kapinda mguu

    Bora kwenda ccbrt , kwakua mwanza nikaribu bora urudi tena Bugando iliwakufanyie vipimo upya kwaajili ya operashani...lakini ukikata bima kabla itakusaidia sana hata katika hospital stay hapa bugando na vipimo vyote
  9. C

    JamiiForums Tanzania Flyover ya Ubungo ya kishamba sana

    humu ndani wengine ni wajinga sana yani mtu karaise his concern wao ..wao wanaishia kuongea upuhuzi mtupu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Flyover ya Ubungo ya kishamba sana

    kw kwel hii ilikua nzuri kuliko hiyo wanayojenga
  11. C

    JamiiForums Tanzania Flyover ya Ubungo ya kishamba sana

    kuna taharifa kwamba hii kitu ilibadilishwa kimyakimya ..ilitakiwa kuwa hivi
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kiasi gani Wazungu wametuacha kiteknolojia

    Sasa ww umekua bais maana umeelezea upande mmoja wa westen countries peke yake..mbona ukuongea kuhusu teknologia iliyokuwepo Africa kama ya chuma,majengo ya kilwa ya zamani au wajua kwamba Sudan kuna mapilamidi mengi kuzidi Egypt kabla hayajalipuliwa na hao wazungu.....?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya hovyo

    its just empty words mkuu
  14. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya hovyo

    Ungerusha na picha sasa kuthibitisha...nyumbani ni nyumbani ..hata kama huko sahihi
  15. C

    JamiiForums Tanzania Udogo wa kizazi ni sababu ya ugumba

    Tupe shule mkuu
Back
Top Bottom