Recent content by chifu77

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nitoeni ushamba: Hiki anachovaa Maulid Kitenge shingoni ni nini?

    Yaani...
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume hata tupewe tunda tamu vipi bado tutahitaji mechi za ugenini. Je ni nature?

    Na wewe una kichwa cha chini?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lisishiriki kwenye mchezo mchafu wa kuwahadaa Watanzania, Mkurugenzi wa Yono akamatwe

    Hiyo pointi namba 3 ya kuwa Dr sio mzima... ina walakini. macho yake na gesture yake ni ya kawaida tu. Mwisho wa mnada alihojowa na akaongea vizuri tu kama mtu timamu. Pointi hapa ni aidha alilenga kuharibu mnada. Lakini kuhusu utimamu wa akili huwezi kuzungumzia kwa kuatazama hiyo clip pekee
  4. C

    JamiiForums Tanzania Madame B niko online, niulize swali lolote kunihusu mimi, iwe ni Mapenzi, Mahusiano na mengineyo

    Leo lazima aijue id yako maana umesema wewe ni mwalimu na umetaja biashara yako na Jina la biashara yako. So, mpaka hapi atakuwa ameshajua ID yako na historia yako.
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wife material tunza nyumba tu! Wenye sura/shape zao wanatanua na mumeo

    Si umeongelea mazingira ya bar...!! Unajua mtu akishagonga chupa kadhaa plus vile vitaa vya rangi humo bar.. kila mwanamke anamwona mzuri, anaamua kubeba. asubuhi pombe zimeisha kichwani na mwanga wa jua upo, akimtazama huyo malaya unakuta hata yeye anashtuka na haamini kama ndo mwanamke...
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taja kitu kimoja kizuri ambacho ex wako alikuwanacho

    Sijakuelewa. Kama anakujali sekta zote.. huo ukorofi unauogopa wa nini. Ulitaka awe mpole kama kondoo
  7. C

    JamiiForums Tanzania Sioni mantiki ya kuweka picha za Rais maofisini, hasa katika mihimili mingine ya dola, nembo na bendera zatosha

    Rejea kwanza kanuni zinazo guide uwekaji wa picha ya Rais na picha ya Baba wa Taifa
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ooooh mwanamke chura..chura my foot

    Weweee... kumbe huna udhoefu wa kutosha mkuu. mtu ana watoto 2, kajifungua kwa njia ya kawaida na Ana Kitu Mnato wa Maana, Acha kabisa.
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila nikirudi nyumbani nakuta msichana wa kazi anaangalia 'porn'

    Huyo binti bado mdogo, mfundishe nini maana ya maisha, umuhimu wa binti kuwa na tabia njema. Pia mueleze hatari zinazomkabili kwa kutazama porn. Vile vile jaribu kufuatilia wapi anapata hizo CD, yaweza kuwa kuna jamaa wana mfukuzia hivyo wanatumia mbinu ya kumpandisha nyege na kumfanya azoee na...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wenye vibamia tukutane hapa

    Kweli kabisa mkuu. Sasa unakuta mtu ana kibamia halafu anaparamia wanawake wenye mabwawa anategemea nini kama sio kuambiwa nikikohoa kanatoka. watafute taipu yao. Mbona kuna wanawake wana papuchi ndogo na ambayo inatoshana na kibamia. Tena unaweza sahau kwamba una sijui kibamia.
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume unakaa na mkeo kila saa kama jiwe la honge

    Ni pm nikuunganishe kwa rafiki yangu, yupo hivyo hivyo.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Dell laptop
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wahenga wanajua sana mapenzi

    Naona umefanikiwa kubadilisha ID. Admn invisible kafanya kazi yake. Hivi ile ID ya awali ilikuwa inaitwaje?
  14. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Nashukuru mkuu. Je nawezaje kuangalia ukomo wa RAM? Pia hiyo sehemu ya kuongeza ukubwa wa ram bila kufungua cover yoyote inapatikanaje?
  15. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Habari mkuu. Naomba msaada wa namna ya kuongeza ukubwa wa RAM ambayo ni 3 GB ifikie 4 au 8 GB. computer ni Dell laptop
Back
Top Bottom