Aiseeh Leo katika pita pita zangu mm huwa syo mtu wa story za vjiwen ila Leo mlienda mahali tulikuw wanaume tu bas story zlipgwa nyingiii akina s unajua palpo na wanaume wanawake pia huongelewa😂😂, kama ilivo kwenye saloon za wanawake pia wanaume huongelewa 🥲🥲
Ikaja Agenda kama ilivosome hapo...
Mmmh pole Kwan mnakwmag wapi yaan mtu mmekuta wazma tu Kila mtu na akili timamu mwenzio kaona apte njia yake ww unaumia,, shida hisia sana kuliko akili,, unapenda had unasahau Kuna kuachwa
Saa hvi sasa ndo kwisha kabsa unaambiwa hata Chemistry unachgua Topic za kufanyia mtihan yaan uisomi Chemia yote, English pia imevnjwa yaan madogo wanogelea Elimu hawasomi elimu
Mimi nlmemaliza 2015 form 4 hapo Elimu ilkuwa imeanza chakachuliwa
Kwa mithn ya kidto Cha pili 2013 ilkuwa thabit kabsa ila baada ya hapo Elimu walianza kuichezesha tu mara GPA wakaon haifai wakarud Divisions akini Divisions znywe za kuwapa uzembe wanafunzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.