05CUBA
JF-Expert Member
- Apr 12, 2025
- 1,106
- 1,650
No Election! Na wewe nipe ushauri sasa
Kwanza nikwambie tu mimi nimekumbwa na the same problem, dem nimedate nae kwa myaka saba.
Sasa nimekuja kumkqmqta na madudu ambayo nikisema niyaseme ntapqndwa na hasira upya tena.
Nimefeli kumwacha dem sabab after all ni mnyenyekevu aso na kiwango cha mwisho nilichowah kukiona.
Kaniomba msamaha kwa kila namna hata kapitiliza kuwa ikibidi basi nije hata nioe mwanamke tofaut and na yeye nisimwache .
Huwa sijawah kumwonga sabab kwao wana mtonyo kupita koas ikilinganishwa na mimi, yani mimi hata nyumba ya kutosha kulala wanafamilia wote comfortably home kwa wazee haipo ila wao wana hotel na lodge na vi vitu vingine vingi katikati ya jiji flan kato ya haya yaliopo TZ.
KIUKWELI SIO UZURI WAKE, WALA PESA, WALA CHOCHOTE KINACHONIFANYA NIFELI KUMWACHA BALI NI UPENDO.
sipo tayari kumpenda mtu tofaut na pia Sina imani kama nweza Pata mtu ambae tutarandana kwa mawazo kama yeye au kukaribia na yeye.
So hapa mze, nipo dilemma since December mwaka Jana, tunachat tu kama washkaji, siku nikiqmkq vibaya naibua kesi upya ila dogo ndo ivp siku zote yupo mnyenyekevu so mpaka nashindwa kuendeleza ugomvi napoa.
Mwezi April mzima nilimpiga kushoto, Yan akinitafutq kwa. Njia ya kawaida namzingua nilimwambiq awe ananichek tsap tu. ... kwamba nikiwa na mda ndo ntamjib. Na akiona sjajib text hata siku ngap atulie tu.
Dogo aleinda na biti kama nnavyotaka, ila At last mimi binafsi nadiriki kusema dogo nampenda and ivo hata nikienda kwa mwingine itakua Bure tu.
So back to you now,
uliacha mbachao kwa msalq upitao thats wh husahau mpaka Sasa.
It's like upoteze 50,000 uloitqqbikia kwa Jasho ili umpe Baba mwenye nyumba au usolve kesi flan kubwa sana, huta kaa uisahau . Sio kwasabab ya ukubwa wake bali kutokana na jasho ulovuja kuipata and Marengo ulokua nayo.
#vumilia kwa sasa mpaka utapoweza ku move on ila itabakia ukweli kuwa huyo dem alikua wa kwako((MKEO)) and whatsoever the reason you break up with her for <<IT WAS NOT THAT MUCH STRONG>>
So, haikupaswa muachane as safari yenu haikuwa imefika mwisho. ....
<JIPE MOYO NI KOVU HILO MJOMBA>
nb: sorry kwa mwandiko sijaedit.