Hivi hiyo mwanamke anakuja kuishi naye mama yako au wewe? Unahitaji mwanamke anayependwa na mamako au unayempenda na kumwelewa? Fanya makosa yote ila si la kuchaguliwa mke wa kuoa .
Suala la Mungu halina dini. Jamaa amehitaji kuoewa elimu. Ni vyema akaelimishwa, kutokuwa na majibu kwako kusikufanye kuchukuwa nafasi ya Mungu kuhukumu kuwa anadhihakiwa. Muachie mungu nafasi yake . Mwanzilishi wa thread ajibiwe tusirahisishe. Wanatheolojia watujibu coz wana majibu kama huna...
Kuuliza si ujinga ni kutaka kujua. Kuna wenye elimu ya theolojia na Sana elimu ya haya mambo na wanaweza kumjibu vyema. Kama huna majibu usikimbilie kuchukua nafasi ya Mungu kuhukumu kuwa anamdhihaki Mungu
Hakuna anayeijua biblia, tunajifunza kila kukicha.
Kuhoji sio dhambi, anahitaji kuelimishwa na ambacho angepata ni elimu. Kama unajua hiyo biblia kwa nini usimwelimishe?
Kuna mambo ambayo hata uijue biblia VIP huwezi yatolea majibu. Kuna mambo mengine unatakiwa kuyaangalia kwa jicho la...
Kuuliza si dhambi wala kufdhihaki. Jamaa amehitaji kuelemishwa juu ya elimu ya kiungu. Haya mambo ni taaluma kabisa. Wana theolojia watakuwa na majibu yakinifu kwako.
Pole sana kwa waliokusakama kuwa hutuhusiwi kuhoji. Mungu huangalia nia yako. Umehoji kutaka kuelimishwa hivyo ulihitaji...
Naomba nieleweshwe kuhusu mahusiano ya Rwanda na Tanzania, Kenya na Sudan kusini.
Pia mahusiano kati ya raila odinga na JP magufuli. Na mahusiano haya yana athari gani kati ya siasa za tz na ke.?
Kuna kitu kati ya Uhuru Kenyata na Lowassa? Leo tumeona akihudhuria kusimikwa kwa askofu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.