Anayejua siasa za Afrika Mashariki anieleweshe

  • Thread starter chief_mekwetiki
  • Start date

chief_mekwetiki

chief_mekwetiki

Member
Joined
Jul 1, 2016
Messages
10
Likes
4
Points
5
Age
29
chief_mekwetiki

chief_mekwetiki

Member
Joined Jul 1, 2016
10 4 5
Naomba nieleweshwe kuhusu mahusiano ya Rwanda na Tanzania, Kenya na Sudan kusini.

Pia mahusiano kati ya raila odinga na JP magufuli. Na mahusiano haya yana athari gani kati ya siasa za tz na ke.?

Kuna kitu kati ya Uhuru Kenyata na Lowassa? Leo tumeona akihudhuria kusimikwa kwa askofu wa kianglikana kule Kenya. Na mazungumzo yao kutokuwekwa wazi.

Naomba nieleweshwe ni kitu gani kinajengeka EAC?
 

Forum statistics

Threads 1,237,246
Members 475,501
Posts 29,282,533