Ibrahim alikuwa anagawa mali zake kwa kasi sana, baadhi ya watu wasio na imani wakawa wanamshangaa kwa kusema "itamsaidia nini kufanya hivyo" baada ya Ibrahim kusikia maneno hayo alisema "MIMI HATA NINGEJAALIWA KUPATA MTOTO NINGEMTOA SADAKA" kipindi hicho hakuwa na mtoto hata mmoja, hapa...
Kwa hiyo walimu hawana vya kuigwa as long as just ni walimu tena msingi?
Nini Kigezo cha mtu kuigwa
a. Kusoma sana
b. Kusema sana
c. Kutenda yaliyo na faida kwa umma
d. Kuwa fit financially
e. Halipo hapo.
Kama ni Jibu ni "E" Jibu sahihi ni lipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zile nguo zinatakiwa lazima coz for the first time zimeonekana na Isitoshe Zina damu hivyo ku compare through DNA ni simple.
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Tutajua inatufundisha nini pale watakapozihitaji hizo nguo na
a: zilimpataje dere!
b: ziko wapi kwa sasa.
2. A need for DNA testing, damu ya Rais wa TLS ilinganishwe na ya kwenye nguo hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania ni watu wanafiki sana. Tutaishi kwa matukio mpaka lini?
Leo hii vyeti vya Makonda na wema sepenga ni Habari kuu kuliko maisha ya Ben saa nane!
I hate Bongo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.