Haji Manara: Afe kipa, afe beki. Kufungwa watafungwa tu

sembo

JF-Expert Member
May 25, 2011
4,350
3,451
Ikumbukwe 25/02/2017 katika dimba la Taifa, mnyama mkali mwituni, Simba atakua akipambana na Ndala katika mechi ya mzunguko wa pili wa VPL. Mda mfupi uliopita, msemaji wa Simba SC, Haji Manara kaandika haya katika ukurasa wake wa Instagram juu ya mechi hiyo;

862b559aa29b38d0b647e588bdc92d50.jpg

b6689c721063ec7e84b40326a40a01bb.jpg

11de7534fffa2220e410f796247947db.jpg


Mwisho wa kumnukuu. Asanteni.
 
Ikumbukwe 25/02/2017.. katika dimba la Taifa Stadium.. Mnyama Mkali mwituni, Simba SC atakua akipambana na Ndala katika mechi ya mzunguko wa 2 wa VPL. Mda mfupi uliopita, msemaji wa Simba SC, Haji Manara kaandika haya katika ukurasa wake wa Instagram.. juu ya mechi hiyo;
862b559aa29b38d0b647e588bdc92d50.jpg

b6689c721063ec7e84b40326a40a01bb.jpg

11de7534fffa2220e410f796247947db.jpg

Mwisho wa kumnukuu.. Asanteni.
Ikumbukwe 25/02/2017.. katika dimba la Taifa Stadium.. Mnyama Mkali mwituni, Simba SC atakua akipambana na Ndala katika mechi ya mzunguko wa 2 wa VPL. Mda mfupi uliopita, msemaji wa Simba SC, Haji Manara kaandika haya katika ukurasa wake wa Instagram.. juu ya mechi hiyo;
862b559aa29b38d0b647e588bdc92d50.jpg

b6689c721063ec7e84b40326a40a01bb.jpg

11de7534fffa2220e410f796247947db.jpg

Mwisho wa kumnukuu.. Asanteni.
aendelee na takwimu zake uchwara,aseme simba ndo imecheza michezo mingi zaidi Yao.pia simba imefunga magoli mengi zaidi Yao.mambo ya manji hayahusiani na mechi
 
Mpira ungekuwa Maneno basi tayari 5-1

Ila kwa kuwa Mpira ni dakika 90 basi kimichezo tuseme any thing can happen.
 
Mkuu, jana tumecheza Mpira.. tumegagadua ipasavyo African Lyon.. na kutinga hatua ya robo fainali kombe la shirikisho.. Leo tunaweka maneno.
Ninaposoma comments zako mtani nafarijika sana tatizo ni baada ya dakika 90 hapo tarehe 25 utaenda eneo korofi kukupata tena ni majaaliwa
Kuhusu haji hana tofauti na el sahaf yule msemaji wa saadam husein katika gulf war alikuwa na mkwara sana mwisho wa siku unajulikana .
 
Tambwe.Ngoma.Chirwa.Msuva weka mbali na watoto....forward line Kali zaidi East Africa ..wana magoli zaidi ya 35 ...mikia mje kupunguza magoli au tutawafanya kama Ngaya
 
Mwacheni Manara ajifariji tu. Kama wanampango wa kupanda ndege msimu ujao basi wakomae na FA tu lakini VPL vidume tumeshatia nanga kileleni
 
Mpira ni Dakika 90
Mpira unadunda
Lolote linaweza kutokea...
Historia haichezi uwanjani
 
Nadhan iko haja kwa huyu bwana afanyiwe vipimo kama ilivyo kwa Trump ni ushauri wang tu jamani
 
Back
Top Bottom