Recent content by CHIEF MKULAZA

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wenye ujuzi naombeni USHAURI wa jambo hili.

    Mi nataka kweny tasnia ya maafisa usafirishaji lkn nna changamoto kadhaa hivyo ningependa kupata USHAURI kutoka kwenu Kwanza kabisa mi ninajua kuendesha pikipiki lakini sina leseni. Sasa kuna mahali NAFANYA kazi lakini ndo hivyo kipato ni cha kudunduliza, nimejimake nna akiba kama lak 8 hivi...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kuna shida gani Tanzania ikitangaza rasmi kuisaidia Congo kupambana na M23? Tuna Viongozi wa namna gani?

    Wabongo mnafikiri vita ni kama mechi za mpira kati ya Bonyokwa FC na Kinesi... Hapo unacheza na maisha ya watu Bob. Kweny vita hakunaga adui mdogo, ukienda kichwa kichwa unapasuka tuu vizur. Lazima ujiulize hapo kuna ya nchi ngapi lkn yote mambo ni magumu sana. Hapo mkenya yupi, msauz yupo...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Madaktari njooni hapa mtueleze huu ni ugonjwa gani kitaalam, kienyeji huku wanaita "kajembe"

    Hii shida ya kubana kifua na kushindwa kupumua ni tatizo la gastro oesophagus reflux disease
  4. C

    JamiiForums Tanzania Huku Watanzania tunajisifu ujinga kila mtoto ajipambanie from scratch, kijana wa kisomali miaka 25 anasimamia malori 90 biashara iliyoanzishwa na babu

    Mlee mtoto kama mwana mfalme kwa miaka mitano, mlee mtoto kama mtumwa kwa miaka kumi na Kisha mfanye kuwa rafiki yako miaka yote . Hii ni falsafa ya wahindi. NJOO BONGO SASA. KWa miaka mitano mtoto alelewa kama mwana mfalme ☑️✅. Kwa miaka kumi hapa ndo mfurugano sasa. Kuna wa kulea kama mwana...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa milioni 45 napata faida ya 500,000 baada ya siku14 ni sawa?

    Mhhhh uongo huoo, Kuna ana tigo pesa na mtaji wa millio tano anaipata ela hiyo hiyo kwa mwe
  6. C

    JamiiForums Tanzania Dhana ya kurushwa na umeme ukweli ni huu!

    Kumbe kuna one Kali ya physics na hamsemi
  7. C

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama Waafrika tutaendelea na kufanikiwa kama Wazungu, Wahindi, Wachina, Waarabu, nk

    Tatizo la jamii za kiafrika nikwamba utajiri uliruka vizazi vinne, hivyo basi kila anayepata nafasi atatumia fursa ipasavyo kuhakikisha anayafukia hayo mashimo. Hata wewe ndugu mlalamikaji usikute huko nyuma kuna rafu nyingi sana ulishazifanya kulingana na nafasi uliyowahi kuwa nayo. Kwahyo...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuacha kazi ya ulinzi kabla ya 2025

    Dahh pole sana. Hii kazi niliwahi kufanya mwaka 2021 kampuni hyo hyo ya Garda world kwa muda wa miezi sita pale coca-cola. Aisee hii kazi iskie tuu, lkn ni moja ya kazi sana yenye changamoto nyingi kama ifuatavyo. 1. AFYA NA UHAI. Afya yako inakua hatarini kutokana na mkesha wa usiku...
  9. C

    JamiiForums Tanzania kwanini nchi zenye ukaribu na US/wazungu zinafanikiwa kiuchumi kuliko zile neutral au zenye ukaribu na Russia/China au Warabu

    Us,ulaya China , Russia Na Arabs Hawa wote ni wanyonyaji ispokua TU wanatofautiana katika Namna Fulani Fulani kama ifuatavyo. Tunaanza na mwarabu; Huyu ni kupe, akiamua kunyonya aisee kila rangi hutaacha kuiona, huyu ni mnyama aliyepitiliza haswa kwa hizi ngozi nyeusi Huwa yeye hazipi fagio...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanafunzi vyuo vikuu wamekosa mikopo, hasa vyuo vya private; wapo nyumbani

    Nashauri wanafunzi wa vyuo vikuu walipiwe ada tuu, lkn bumu wasipewe ili kuepuka mzigo wa deni la maisha huko mbeleni, mzazi jitahid sana kuepuka huu mzigo
  11. C

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanafunzi vyuo vikuu wamekosa mikopo, hasa vyuo vya private; wapo nyumbani

    Nashauri wanafunzi wa vyuo vikuu walipiwe ada tuu, lkn bumu wasipewe ili kuepuka mzigo wa deni la maisha huko mbeleni, mzazi jitahid sana kuepuka huu mtego
  12. C

    JamiiForums Tanzania Dunia haiko fair, leo mtoto wa Nyerere analalamika watu Serikali hawapokei simu za familia ya Nyerere

    Ndio wajifunze kwamba kuna wengine wanateseka zaidi ya hapo, Bora yeye viongozi hawapokei simu lkn wanahudumiwa vzr tuu yamkini kuna akina sisi pangu pakavu tia mchuzi.. Ila mwanasiasa ni mtu wa dhulma sana, hebu fikiria kiongoz wa serikali kama waziri ama Raisi anagharamiwa maisha yake kwa...
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya wakimaliza kuvurumishana, wataikuta Tanzania imerusha satellite yake anga za juu

    Unawaza ugoro kabisa, Hebu toka maporini huko.. Kiufupi TU ni kwamba ili tuwapite Kenya itabidi walale kwa miaka ishirini bila kufanya chochote .. Tena hapo pengine tutakuwa sawa ila sio kuwapita.. Ogopa sana taifa ambalo wananchi wake wanajielewa..
  14. C

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    0206
Back
Top Bottom