Yakobo 2:10-12
10 Kwa maana mtu ye yote anayetimiza sheria yote isipokuwa akashindwa kutimiza sehemu moja tu, amekuwa na hatia ya kuvunja sheria yote. 11 Kwa sababu yeye aliyesema, “Usizini” ndiye huyo huyo aliyesema, “Usiue.” Kama huzini lakini unaua, umekuwa mvunjaji wa sheria yote.
12 Kwa...
hao wenzetu wanatumia zaidi software na akili nyingi katika ulinzi kuliko kutumia nguvu na hardware....ingekuwa soka tungewaita beki mstaarabu kama Mathias sammer
dah majuzi ilibidi nibadili njia baada ya kupita maeneo ya mirembe huko dodoma, na kuwaona matrafic wadada wawili na suruali zao wanansimamisha kila gari, nikaona hiki kistarlet changu hawawezi kosa kunipiga faini
MBONA WANA MATANGAZO MENGI TUU, KWA MFANO MIMI NILIACHA KUSIKILIZA KIPINDI CHAO CHA SPORTS ROUND UP KWASABABU KIMEJAA MATANGAZO KULIKO TAARIFA ZA MICHEZO KAMA ZAMANI,...
umenikumbusha mnamo mwaka 2007, girlfriend wangu alidisco yeye na group lake la watu 5 pale the maarufu kama "The Only Faculty" kwa kuwakatalia wahadhiri wakware, akaenda zake Mzumbe kuanza upya na akafaulu vizuri tuu, kwa sasa ni wakili msomi.
"kijana barubaru kutoka mashariki ya mbali", tunarudi katika nchi ya jirani , Ni kenya Hapo, mahasimu wa siasa za kenya.....in Samadu voice.... we celebrate his life.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.