Clouds Media Group walia na ugumu wa biashara, Kusaga adai wanaweza kufunga hali ikiendelea hivi

brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
3,660
Likes
4,285
Points
280
brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
3,660 4,285 280
Bosi wa Clouds Media amesema tangu kutokea changamoto ya local channels kuondolewa kwenye ving'amuzi vyombo vya habari hivo vimeathirika kwa kiwango kikubwa na hapo wanapenda kutoa ajira kwa vijana lakini wanakoelekea watakwama na kupunguza wafanyakazi.

Kusaga" wakati kupo kwenye ving'amuzi vyote zuku, startimes, Azam na DStv mfano makampuni Kama Vodacom, Tigo na Airtel walikuwa wanaona views milioni 1 wanakulipa fungu zuri kutokana na idadi kubwa ya watazamaji, lakini kwa sasa views wameshuka Hadi laki moja kwaiyo makampuni hayo yamekata bajeti zao na kukulipa kuligana na idadi ya watazamaji na huwezi kuwalaumu hata Kama wanakupenda lakini wanakulipa unachostahili Sasa kwa Hali hii wafanyakazi Hawa vijana wanafamilia tutawalipa vipi?

Maana yake hatuwezi kufika inabidi tuwapunguze japo tunawapenda". Kuna haha la kuniangalia upya suala hili.

Kusaga ameongeza hata wasanii wameathirika hawapati tena show nje kwakuwa hawaonekani Tena Kama zamani

View attachment Inst-video-1.mp4
 
Chapa Nalo Jr

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Messages
6,641
Likes
3,600
Points
280
Chapa Nalo Jr

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2010
6,641 3,600 280
Hivi hii local channel ndiyo nini?
Mwenzio ccm kindakindaki Imhotep ameshaihama ccm sasa, bado wewe Mudawote soon. Na wengine wengi tu hapa wamepooza sio kama zamani walivyokuwa wanaitetea ccm.

Moto unachoma balaa, salama ya moto kwa sasa ni kwa jiwe pekee labda na mkuu wa wilaya maarufu kuliko mawaziri, yaani Kisarawe moja-Jokate
 
Maskini Msafi

Maskini Msafi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
447
Likes
339
Points
80
Maskini Msafi

Maskini Msafi

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
447 339 80
wanatambuaje idadi ya viewers kwenye television? sina utalaam wowote kwa haya mambo, nielimishwe.
Kwani unatambuaje idadi ya viewers kwenye whatsapp status yako?

Vingine tuache tu vipite mana kujibu swali lako ni lazima upelekwe sehemu husika upate elimu.
 
mayowela

mayowela

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Messages
533
Likes
297
Points
80
mayowela

mayowela

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2014
533 297 80
wanatambuaje idadi ya viewers kwenye television? sina utalaam wowote kwa haya mambo, nielimishwe.
mkuu teknolojia imekua sana, mbona hilo ni jepesi, sio tu viewers wa Kituo mpaka kipindi kimoja kimoja na idadi ya watazamaji au wasikilizaji utapewa nenda pale TCRA
 
wambagusta

wambagusta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Messages
1,751
Likes
494
Points
180
wambagusta

wambagusta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2014
1,751 494 180
Duh! Badala ya kuongeza watu unapunguza watu what's goes on?
 
Liparamba

Liparamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2016
Messages
369
Likes
264
Points
80
Age
31
Liparamba

Liparamba

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2016
369 264 80
Namba zina someka kote!

Hassan Ngoma anahisi ataendelea kuonesha kipanda uso chake pale C360.
Dah!! Ngoma Sifa nyingi binafsi anazingua tuu kwenye 360
 
Hajto

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Messages
2,110
Likes
1,009
Points
280
Age
29
Hajto

Hajto

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2013
2,110 1,009 280
wanatambuaje idadi ya viewers kwenye television? sina utalaam wowote kwa haya mambo, nielimishwe.
Nahisi tcra watakuwa na data zote za vyombo vyote vya habari na vile vya mawasiliano ya simu,kwaiyo server yao inaonyesha television zote idadi ya watamazaji kila muda
 
Nyange

Nyange

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Messages
3,066
Likes
995
Points
280
Nyange

Nyange

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2010
3,066 995 280
View attachment 957966
Utaratibu gani mkuu wa mkoa anashikwa kwa kutaka kukwepa kodi halafu anaanza kuwalaani wataonunua Samani na Makochi yake.
HAhahahahahahaahahhaahahaha uchumi wa inchi unakua kwa kasi ya ajabu!! katika nchi za Afrika Tanzania ni kinara kwa ukuaji wa uchumi? Watanzania aliyeturoga hakunawa mikono!!!
 
Ngushi

Ngushi

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
7,790
Likes
15,012
Points
280
Ngushi

Ngushi

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
7,790 15,012 280
Kwa hiyo wangeripoti Press conference ya Lissu TCRA isingesimamia ile Sheria ya local channels?
Sijazungumzua TCRA kutofunga!
Nimezungumzia ishu ya tundulissu kututaka tuwe wamoja kwenye kudai haki zetu na dhidi ya ukandamizaji iwe direct( nguvu) au kutumia sheria ( indirect)
 
caridas

caridas

Senior Member
Joined
Sep 30, 2018
Messages
175
Likes
193
Points
60
caridas

caridas

Senior Member
Joined Sep 30, 2018
175 193 60
Kwani unatambuaje idadi ya viewers kwenye whatsapp status yako?

Vingine tuache tu vipite mana kujibu swali lako ni lazima upelekwe sehemu husika upate elimu.
Inategemeana na ulivyoelewa swali, siongelei online tv. though wenye kujua wameshatoa ufafanuzi
 
Volcano Temperature

Volcano Temperature

Member
Joined
Nov 15, 2018
Messages
30
Likes
9
Points
15
Volcano Temperature

Volcano Temperature

Member
Joined Nov 15, 2018
30 9 15
Hawa walikosea walipofunga ndoa na ccm
Alafu wale wazandiki wa CHADEMA sasa ndio wanafurahia utafikiria wanapewa wenyewe hiyo Radio au TV.... ukishangilia matatizo ya mwenzio, basi tambua kabisa kuwa wewe na shetani ni ndugu wa damu, hata kama unaenda kanisani kila siku.
 
E

ernieboss

Member
Joined
Sep 4, 2018
Messages
33
Likes
17
Points
15
E

ernieboss

Member
Joined Sep 4, 2018
33 17 15
Ifike wakati watu wachoke kulalamika! Njia mbadala itafutwe!
 
Volcano Temperature

Volcano Temperature

Member
Joined
Nov 15, 2018
Messages
30
Likes
9
Points
15
Volcano Temperature

Volcano Temperature

Member
Joined Nov 15, 2018
30 9 15
Sijazungumzua TCRA kutofunga!
Nimezungumzia ishu ya tundulissu kututaka tuwe wamoja kwenye kudai haki zetu na dhidi ya ukandamizaji iwe direct( nguvu) au kutumia sheria ( indirect)
:rolleyes::rolleyes::rolleyes:... Kumbe kuna watu wanaishi Tanzania hawana haki na wamekandamizwa ? au naota ??

Ninachojua ni kuwa Mashoga ndio hawana haki yao ya kishetani wanayolazimisha, lakini haki nyingine zote za kibinaadamu zipo... Haki ya kuishi, Haki ya kufanya kazi, Haki ya kuongea na kuwasilisha mawazo yako kama tufanyavyo hapa JF (Tunaongea na kuandika tupendavyo), haki ya kuoa na kuolewa, haki ya kupata elimu, haki ya matibabu, nk.... labda kama unataka haki ya kuiba na kupiga dili ??
 
Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Messages
7,290
Likes
4,139
Points
280
Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2013
7,290 4,139 280
Kuna band moja inaitwa Makete Band wana wimbo uuitwao "tunaisoma namba" huwa nacheeeeeka
 
IWAMBI

IWAMBI

Member
Joined
Dec 5, 2018
Messages
31
Likes
14
Points
15
IWAMBI

IWAMBI

Member
Joined Dec 5, 2018
31 14 15
wanatambuaje idadi ya viewers kwenye television? sina utalaam wowote kwa haya mambo, nielimishwe.
Mkuu kama usipolipia kingamuzi channel zote zinakata na ukilipia ndo zinaanza kuonesha..unadhani watashindwa kugundua kuwa mda huu unaangalia tv au laa
 
Habuba

Habuba

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2015
Messages
599
Likes
726
Points
180
Habuba

Habuba

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2015
599 726 180
Bosi wa Clouds Media amesema tangu kutokea changamoto ya local channels kuondolewa kwenye ving'amuzi vyombo vya habari hivo vimeathirika kwa kiwango kikubwa na hapo wanapenda kutoa ajira kwa vijana lakini wanakoelekea watakwama na kupunguza wafanyakazi.

Kusaga" wakati kupo kwenye ving'amuzi vyote zuku, startimes, Azam na DStv mfano makampuni Kama Vodacom, Tigo na Airtel walikuwa wanaona views milioni 1 wanakulipa fungu zuri kutokana na idadi kubwa ya watazamaji, lakini kwa sasa views wameshuka Hadi laki moja kwaiyo makampuni hayo yamekata bajeti zao na kukulipa kuligana na idadi ya watazamaji na huwezi kuwalaumu hata Kama wanakupenda lakini wanakulipa unachostahili Sasa kwa Hali hii wafanyakazi Hawa vijana wanafamilia tutawalipa vipi?

Maana yake hatuwezi kufika inabidi tuwapunguze japo tunawapenda". Kuna haha la kuniangalia upya suala hili.

Kusaga ameongeza hata wasanii wameathirika hawapati tena show nje kwakuwa hawaonekani Tena Kama zamani

View attachment 957913
Kama wewe(CMG) kweli ndiye masihi, jiokoe mwenyewe hapa msalabani.
 
CHIEF MANGUNGU

CHIEF MANGUNGU

Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
20
Likes
19
Points
5
CHIEF MANGUNGU

CHIEF MANGUNGU

Member
Joined Aug 20, 2018
20 19 5
MBONA WANA MATANGAZO MENGI TUU, KWA MFANO MIMI NILIACHA KUSIKILIZA KIPINDI CHAO CHA SPORTS ROUND UP KWASABABU KIMEJAA MATANGAZO KULIKO TAARIFA ZA MICHEZO KAMA ZAMANI,...
 
Forum statistics

Threads 1,237,059
Members 475,401
Posts 29,276,883