Wewe kilaz.a hebu niambie kitu gani ulichonacho wewe ambacho hujaiga wamagharibi.Kwa hiyo ulitaka nasi tuwaige? Hivi watanzania huu utamaduni wa kuiga na kufuata mila za watu utaisha lini? Ilianza hizi dini za maboti zisizo na tija kwetu, tumejimilikisha na kuacha imani zetu, kuna waafrika wanafunga ndoa wamevaa kanzu na masime kiunoni kujifananisha na jamii fulani bila hata kujuwa ukweli wa huo uvaaji. Kwa kweli wacha waafrika tuendelee kuchekwa tu.
kuna mambo mazuri ya kuiga, tungeacha kabisa kuiga basi leo tusingevaa nguo,tusingekuwa na barabara ya lami,tungebaki kwenye ujima wetu.haya yoote unayoyaona yanatuletea maendeleo ni kuiga, mifumo karibu yote ya fedha nchi hii ni kuiga. Uliiona ile gari yenye JAMMING SYSTEM kule Namanga ni kuiga kote huko. mambo mazuri acha tuige, Ushoga tumekataa hatuiigi.Kwa hiyo ulitaka nasi tuwaige? Hivi watanzania huu utamaduni wa kuiga na kufuata mila za watu utaisha lini? Ilianza hizi dini za maboti zisizo na tija kwetu, tumejimilikisha na kuacha imani zetu, kuna waafrika wanafunga ndoa wamevaa kanzu na masime kiunoni kujifananisha na jamii fulani bila hata kujuwa ukweli wa huo uvaaji. Kwa kweli wacha waafrika tuendelee kuchekwa tu.
kwani wa kwetu anapata ngapi?!? hizo ulizosema za PM wa uingereza ni zaidi ya milioni37 za kitz kwa mwezi.Na mshahara wake ni pauni laki moja na elfu arubaini na tisa kwa mwaka 149,000 sterling pounds. NARUDIA TENA KWA MWAKA
Nina miaka 59Kabla ya kukuelewesha kwanza tujue una umri gani?maana watoto chini ya umri wa miaka 18 hawaruhusiwi kumiliki simu.
Hawa jamaa wako mbali sana. Wamekuwa na train za chini tangia 1863. Ukiangalia bunge lao sasa jinsi wanavyo bishana kwa hoja... Sie bado sanaUkiliangalia katika muktadha wa muonekano ni sawa kabisa, Ila kwa namna nyengne jarbu kuwaza security system ambayo iko ndan ya hilo gari plus other softicated security system ambazo wenzetu wame invest into... So inawezekana securty ya kimfumo ni kubwa sana kuliko ya kimuonekano.
issue ni msafara (mafuta) anayekupa msaada anatumia machache wewe badget ya kuungaunga unatumia kwwa fujokila nchi ina utaratibu wake wa kujilinda .halafu mambo ya ulinzi siyo lazima yatoke uingelezaq hata wao ikiwapendeza wanaaweza kuja kuiga kwetu ovaaa
Huu ndo msafara wa Waziri Mkuu wa Uingereza. Nchi ya tano kwa uchumi mkubwa duniani, bila shaka kuna jambo la kujifunza kwa viongozi wetu wa nchi changa za kiafrika especially sisi Tanzania. View attachment 965169