Recent content by Chief Editor

  1. Chief Editor

    JamiiForums Tanzania naomba mwenye kujua au maswali ya written ya interview ya Afisa utamaduni II

    Ulikutana na maswali yapi sasa ?
  2. Chief Editor

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nazitafuta hizi audio 1. Philbert kabago dear 2. Norichiko nimemfukuza wangu mpenzi 3. Na wimbo mwingine unaimbwa "ni rafiki tu mbona manzi yupo hata yeye anamjua ni rafiki tu"
  3. Chief Editor

    JamiiForums Tanzania Bongo hakujawahi kuwa na msanii mkali wa Reggae kama Bahati Bukuku

    Justin kalikawe
  4. Chief Editor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi Mzee wa "USIOE" mapenzi yamenishinda, siyo kwa kununa huku kwa wanawake

    Kama anatumia halotel [emoji16][emoji16][emoji16]
  5. Chief Editor

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Z Anto?

    Ni dalali wa viwanja ....Kigamboni -Mwasonga
  6. Chief Editor

    JamiiForums Tanzania Bila kututajia mwaka, tuambie ulimaliza form four mwaka gani?

    Mwaka wa ndalichako
  7. Chief Editor

    JamiiForums Tanzania Uzalo Special Thread

    Mbali na yote ....i miss nkule Atarud lini
  8. Chief Editor

    JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Biden ataka kutolewa Dola 100 kwa kila atakayepata chanjo ya COVID-19

    Kuna mpaka hafifu kati ya ushawishi huu na rushwa
  9. Chief Editor

    JamiiForums Tanzania Mohammed Dewji: Mchakato wa mabadiliko Simba umekamilika, aweka bilioni 20

    Mkataba wa haki za matangazo wa ya usilinganishe na mkataba wa hisa za umiliki za simba. Mkataba wa haki za matangazo ulinganishe na mkataba wa haki za matangazo wa simba ukipatikana. Na hisa za simba zitalinganishwa na za yanga wakimaliza mchakato
  10. Chief Editor

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani au lengo kuu la kuwa na uwongozi wa Serikali ya Wanafunzi vyuoni inayoundwa na viongozi walioko chini ya mwamvuli wa chama

    Katiba ya nchi inaruhusu raia kuwa na chama cha siasa lakini vyuoni hutakiwi kutumia chama chochote cha siasa kama sehemu ya kampeni kupata uongozi ndani ya chuo. Pia hakuna katazo lolote lile juu ya kuwa kiongozi wa chama siasa na chuoni kwa pamoja. Lengo. Kwa vyama vya siasa. Kupata viongozi...
  11. Chief Editor

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani au lengo kuu la kuwa na uwongozi wa Serikali ya Wanafunzi vyuoni inayoundwa na viongozi walioko chini ya mwamvuli wa chama

    Umenikumbusha kipindi ambacho tulikuwa tunazifungia cafeteria kwa sababu tu zimepandisha bei ya chai kutoka mia moja hadi mia mbili ....lazima meneja atoe sababu kama ni sukari imepanda bei au la !!!! Hapo unalinda waliokupigia kura
  12. Chief Editor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anaomba nimsaidie pesa, sitampa maana kipindi cha mahusiano yetu hakuwahi kunipa penzi

    Mkuu hizi kwa mujibu wa nani kwa sababu mi najua usizini ni amri ya sita !!!
  13. Chief Editor

    JamiiForums Tanzania Wimbo: Sina makosa

    Kaeni myamalize Kaeni mmumalize
Back
Top Bottom