Recent content by chidyjoker

  1. chidyjoker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu gani mpenzi wako kakufundisha ambacho hukutegemea kutoka kwake?

    Hello wanajf,naomba niwe member wa hili kundi
  2. chidyjoker

    JamiiForums Tanzania Ajali ya basi Kahama yachukua uhai wa baadhi ya abiria

    Hello,jaman naomben niwe member wa hili kundi
  3. chidyjoker

    JamiiForums Tanzania Waliopata mikopo HESLB 2014/15

    Naomba ya udom tafadhal
  4. chidyjoker

    JamiiForums Tanzania Wewe najua unamuogopa Yeye Anamla.

    Duh hatar km ndo hiv...!
  5. chidyjoker

    JamiiForums Tanzania Wachungaji mbaroni kwa ulawiti wa watoto kanisani

    Dah dunia imekwisha hadi watumishi wa mungu nao...! Tunakwenda wapi sasa jaman......!
  6. chidyjoker

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    Hawa jamaa wana shida sana kwa kweli wakina sisi huku tunashindwa hata kufanya kaz
  7. chidyjoker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

    Nipo mie njoo nakusubiri
  8. chidyjoker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana haya sio mambo badilikeni

    Duh hiyo kali kweli na hapo anatoa kaharufu ako wakat huo bado abdala jicho moja ajaingia shimon
  9. chidyjoker

    JamiiForums Tanzania Diamond amka, Mkongomani anakumegea Wema anavyotaka

    Mh waswahili wanasema,"Ukiondoka na lako halipo"
  10. chidyjoker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je waume zetu wakichepuka nasi tuchepuke?

    Naomben mniambie kitu wanajf.Eti mkeo akikuaga anakwenda mahali na kumbe haendi uko alikokwambia anajua mwenyewe. Nifanyeje
  11. chidyjoker

    JamiiForums Tanzania Kumnyonya mwanamke maziwa kunasaidia kupunguza ugonjwa wa kansa ya maziwa

    Safi sana hiyo ndo dawa ya kumuokoa mpenz wako unaempenda kwa dhat
  12. chidyjoker

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

    Domo hana jipya ila mpango upo Ally k japo nae ajitumi kwa saaana
  13. chidyjoker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majibu ya kukera unapochati na mpenzi wako

    Ebu nipe namba zake halaf ntakujib vzr kwann anakujib hv
  14. chidyjoker

    JamiiForums Tanzania Nimemtandika vibao viwili mpenzi wangu

    Kaka mke apigwi anapigwa na kanga au kitenge na au la ningeona la maana ungem'busu na kumkumbatia mkeo na ukam'bembeleza na co makofi,badilika ndugu yangu.
  15. chidyjoker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mchumba wa kiume

    Npo mie we sema tu.Jina langu naitwa joseph mbaga.Nina elimu ya chuo mwaka wa tatu sasa hv.Nasomea tax ktk chuo cha usimamiz wa fedha(IFM).Na naishi dar-es-salaam ila nimepanga.Na kwa umri wangu nina miaka 26.Na kwa mawasiliano zaid namba zangu za cm hz 0689 049244 au 0654 115326
Back
Top Bottom