Na; Hamis Abeid Baruani
0769808725
Mama kwanza pole na hongera kwa majukumu ya kulitumikia Taifa letu tukufu la Tanzania, kama kijana wako wa Tanzania nina maoni yangu kadhaa ningependa kukupatia kuhusu kutusaidia sisi vijana wako, mengi mazuri yalisemwa na uliyasema pale Mwanza naomba nami...
Ilikuwa ni Jumanne tulivu kabisa iliyomshuhudia Prof. Mussa Juma Assad akichukua kila kilicho chake na kukabidhi vyote vya Serikali kwa Ndugu Charles Edward Kichere ikiwa ni ishara ya makabidhiano ya Ofisi ya Mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali nafasi aliyoihudumu kwa kipindi cha miaka mitano...
*VIONGOZI MNA MENGI YA KUJIFUNZA KWENYE SOKA*
Soka ni miongoni mwa michezo inayopendwa zaidi duniani hasa kutokana na matokeo yake ya kustaajabisha ambayo mara nyingine huwaliza na kuwafurahisha watazamaji wake. Pia vile vile mchezo wa soka umekuwa ukifananishwa sana na mchezo mmoja maarufu...
Je, huku ndipo tulipofika?? Je kuna matumaini yeyote tuyaonayo mbele??
Nianze kwa kumshukuru Mungu mwingi wa Rehema na mwenye kurehemu kwa kuendelea kutupa pumzi hii ya bure pasipokulipia gharama yeyote. Ama hakika ni jambo la furaha sana kwetu tuliojaaliwa kuiona hii siku mpya.
Furaha hii...
*KILA GARI NA PISTONI YAKE*
Anaandika Kibopa[emoji1621]
Siku za hivi karibuni imeibuka mijadala mbalimbali kuhusiana na matukio ya mauaji ya wapenzi ikihusishwa na usaliti wa kimapenzi huku hoja kuu ikiwa ni ‘kusomesha’. Taarifa hizo zikazua taharuki kubwa miongoni mwa wasomesha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.