TETESI: Waziri Daruso akalia kuti kavu kuaga chuo (kudisco)

Malema Jr

Member
Aug 16, 2019
7
14
Duru za Habari zinazoenea chini kwa chini ndani ya serikali ya Wanafunzi Chuo kikuu cha Dar es Salaam-DARUSO zinasema ya kwamba mmoja ya mawaziri maarufu wa serikali hiyo mpya 2019/2020 amepata G.P.A ya 1.5 ambayo ni chini ya G.P.A ya 1.8 inayotakiwa.

Kwa mujibu wa vyanzo vinasema kikao cha kupitisha matokeo ngazi ya department yao kilikaa jumanne ya wiki hii ambapo watu waliohudhuria walikuta jamaa huyo ana G.P.A ndogo.

Kwa mujibu wa uchunguzi, hivi sasa jamaa huyo anahangaika kupiga simu hovyo kuomba walimu wamsaidie kumbeba, lakini hali bado inaonekana ngumu. Na hivi tunavyozungumza kikao cha kupitisha matokeo ngazi ya college ndo kinaendelea.

Kijana huyu anajulikana sana na amejizolea umaarufu kwa kasi yake ya ajabu ndani ya DARUSO.

Ni mmoja kati ya vijana waandamizi sana walioiweka madarakani serikali hii

Ungana nami kwa taarifa zaidi.
 
DAAAAAH wewe ni mmbeya wa karne, serikali hii imewekwa madarakani na wapiga kura ukipenda wababe wa kura sio kijana mmoja mwenye GPA below normal ahahahha
 
Duru za Habari zinazoenea chini kwa chini ndani ya serikali ya Wanafunzi Chuo kikuu cha Dar es Salaam-DARUSO zinasema ya kwamba mmoja ya mawaziri maarufu wa serikali hiyo mpya 2019/2020 amepata G.P.A ya 1.5 ambayo ni chini ya G.P.A ya 1.8 inayotakiwa.

Kwa mujibu wa vyanzo vinasema kikao cha kupitisha matokeo ngazi ya department yao kilikaa jumanne ya wiki hii ambapo watu waliohudhuria walikuta jamaa huyo ana G.P.A ndogo.

Kwa mujibu wa uchunguzi, hivi sasa jamaa huyo anahangaika kupiga simu hovyo kuomba walimu wamsaidie kumbeba, lakini hali bado inaonekana ngumu. Na hivi tunavyozungumza kikao cha kupitisha matokeo ngazi ya college ndo kinaendelea.

Kijana huyu anajulikana sana na amejizolea umaarufu kwa kasi yake ya ajabu ndani ya DARUSO.

NI MMOJA kati ya vijana waandamizi sana walioiweka madarakani serikali hii

Ungana nami kwa taarifa zaidi.
NI MMOJA kati ya vijana waandamizi sana walioiweka madarakani serikali hii
No worry... No fear... Dadi is coming
 
Naona umejiunga leo leo ili utupe taarifa ya kudisco kwa jamaa.
Utakuwa mchawi wewe sio bure.
 
Kufeli masomo sio kufeli maisha,Cha muhimu asikate tamaa.Nina jamaa yangu alitoka ILIBORU na one ya 3 form Six.Kaja COET /FOE akasoma Electromechanical Eng.Alidisco,ila hakukata tamaa .Akaenda zake kusoma Mzumbe BAF . Sasa hivi yupo zake shirika kubwa sana hapa Tz anafanya kazi na ana miradi kibao.Maisha yake mazuri kuliko hata hao waliomaliza EME.
 
Matokeo hayajatka rasmi huku yako kwenye mitandao tayari??!! UDSM kuna shida ya maadili kwa walimu waliohudhuria kikao cha matokeo
 
Kufeli masomo sio kufeli maisha,Cha muhimu asikate tamaa.Nina jamaa yangu alitoka ILIBORU na one ya 3 form Six.Kaja COET /FOE akasoma Electromechanical Eng.Alidisco,ila hakukata tamaa .Akaenda zake kusoma Mzumbe BAF . Sasa hivi yupo zake shirika kubwa sana hapa Tz anafanya kazi na ana miradi kibao.Maisha yake mazuri kuliko hata hao waliomaliza EME.
Kijana no CCM Yule alikua anavimbia Sana watu chuoni pale
 
Back
Top Bottom