Recent content by chichiboy1

  1. chichiboy1

    JamiiForums Tanzania Mliongalia Tamasha la Simba day je,leo simu ilipigwa?

    Kesho lazima
  2. chichiboy1

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 3-2 Yanga SC | Kombe la shirikisho CRDB Bank | CCM Kirumba | 21 Juni, 2026 | Azam FC watinga Fainali

    Mipango hamna..yanga sio timu nzuri kwa sasa
  3. chichiboy1

    JamiiForums Tanzania Wanawake ombaomba pesa kwenye mapenzi wana tofauti gani na wanaojiuza kibiashara?

    Wale wale tofauti maelewano na bei
  4. chichiboy1

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kandauma: 2030 kutakuwa na Ramadhani mbili , Ila ni dalili ya Kiyama

    How iwe dalili ya Kiyama?
  5. chichiboy1

    JamiiForums Tanzania FT: Fountain Gate 0-2 Yanga SC | Juni 18 2026 | Ligi Kuu NBC| Sheikh Amri Abeid

    Tubutuebutue hivyo hivyo tu mradi tupate ushindi ila boli hatuna..timu haichezi vizuri😟
  6. chichiboy1

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu huwa sipendi kama hawa watangazaji wa mpira kwenye matangazo ya live ya mpira

    Tune channel ya kiinglish ipo Azam
  7. chichiboy1

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Inakuaje mtu amejaza PEPMIS halafu taarifa zake zinapotea?

    Maybe ya mwisho hauku-submit na muda umekwisha, au approver hakuifa yia kazi, kushtuka deadline tayari
  8. chichiboy1

    JamiiForums Tanzania Leo kuna mbaba kadhalilika. Kifupi sio mkopaji yeye, alijichanganya

    Hivi ukishamdhamini lakini ukaona mienendo yake sio unaweza kufuta udhamini?
  9. chichiboy1

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 1 - 0 Dodoma Jiji | Uwanja wa KMC, Mei 24, 2026

    Goaaal...Mpanzuuu
  10. chichiboy1

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 1 - 0 Dodoma Jiji | Uwanja wa KMC, Mei 24, 2026

    Penalty...
  11. chichiboy1

    JamiiForums Tanzania Nanunua laptop mbovu kama spare bei maelewano

    Yangu ni hp core i5 tatizo betri nicheki sasa hivi 0703767579
  12. chichiboy1

    JamiiForums Tanzania Hii ni IP address ya nani: Mbona kuna mashimo mengi yako wazi?

    Siwezi kukuambia “ni ya nani” kwa uhakika bila kufanya lookup ya ISP/owner, lakini hicho unachokiona kinaonekana zaidi kama: honeypot / trap server ya usalama, firewall/router iliyowekwa vibaya, au scan result isiyo halisi kabisa. Kuna sababu kadhaa: Port karibu zote maarufu zinaonekana...
Back
Top Bottom