Recent content by chibungulu

  1. C

    Huwajui waluguru ndio maana

    Mruguru naye unamuweka kwenye list! Utakuwa wewe ni kabila lile lile cc tunaofanya kazi huku tuulize, ni wa ngono na vigodoro tu
  2. C

    SIMIYU: Wananchi wapiga kura kuwataja wauaji wa Watoto

    details zilizotolewa wawili wameuawa mwaka huu na mmoja mwk Jana mwezi Wa December mwk Jana kuna shule karibu na lamadi inaitwa mwasamba sec, kuna mwanafunzi pale aliuawa mwezi wa 9 akiwa anatoka nyumbani kwenda shuleni pia kalemela; nyamikoma; na sehemu nyingi kandox2 ya ziwa ukiwa unaelekea...
  3. C

    SIMIYU: Wananchi wapiga kura kuwataja wauaji wa Watoto

    Jeshi LA polisi wapuuzi kweli Mimi ni mwenyeji wa lamadi na shule nimesoma o level hapo lamadi Sekondari ninashangaa serikali imetoa idadi ya watu wa3 tu waliouawa wakati hali halisi wanazidi 38 hakuna lolote hapo mauaji yameanza tangu mwezi Wa 8 mwk Jana hiki ni Kishindo cha. Awamu ya 5 watuue tu
  4. C

    Wimbo mkali kuliko zote katika Bongo Fleva...

    Kings music, katoto
  5. C

    Niliyoyaona Geita mjini

    Huko kwetu hata pakichafuka hakuna shida, nduhu tabu!!
  6. C

    Rais Magufuli ni Nyerere na Nkrumah mpya

    Kwa mtu ambaye alishafika Butiama hawezi akamlinganisha Nyerere na hizi takataka za leo
  7. C

    Rais Magufuli ni Nyerere na Nkrumah mpya

    Utakuwa kaka yake na Jesca wewe cyo bure, hata 25% vs 75% unaiafiki
  8. C

    Rais Magufuli ni Nyerere na Nkrumah mpya

    Tunataka Pesa zetu 75% zilizobaki
Back
Top Bottom