Recent content by chibu v8

  1. chibu v8

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimenunua soda na kukuta ina uchafu ndani yake lakini ilikuwa bado imefungwa

    Umeuziwa togwa ukaongopewa soda Sent using Jamii Forums mobile app
  2. chibu v8

    JamiiForums Tanzania Natafuta na fasi yakazi ya udereva nimesoma nit VIP

    Unakatisha tamaa hata kiandika hujui vp gari utaweza kweli? Na unaacha space kisha fasi ndo nini sas Sent using Jamii Forums mobile app
  3. chibu v8

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Muoshwa huoshwa pia, Man U 4, Madrid 0

    Umepatia matokeo ndo hvyo kwali marekani si walishinda Sent using Jamii Forums mobile app
  4. chibu v8

    JamiiForums Tanzania Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

    Nampenda pesa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. chibu v8

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe hii kauli tata ya marehemu mwanamuziki Diana Aston Villa kwa faida ya wote

    Nani atapambana nakifo? Hakuna shujaa alietokea tena baada ya Jesus na hata Jesus akija duniani tena hawez kupambana na kifo. So dont worry be happy. Kula bata mpaka wote Sent using Jamii Forums mobile app
  6. chibu v8

    JamiiForums Tanzania Sport

    Sport Sent using Jamii Forums mobile app
  7. chibu v8

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu simuelewi sijui anamaanisha nini

    Anamaanisha hakutaki.. huna jipya Sent using Jamii Forums mobile app
  8. chibu v8

    JamiiForums Tanzania Nauza nyumba ipo Kahama

    Kahama? Kahamia wapi? Nakwanini mnauza nyumba wakati mwenyewe Kahama? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. chibu v8

    JamiiForums Tanzania Kuosha gari na Maji ya chumvi kunadadili rangi ya gari????

    Kunabadilisha!!! Kweli maji dawa alikunywa Ray kigosi akawa mweupe leo ukichanganya na chumvi gari linabadilika rangi.. dah natamani niskie maji ukichanganya na asali buku inabadilika rangi na kua nyekundu inakua Teni duh Sent using Jamii Forums mobile app
  10. chibu v8

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Umepata mama. Maana kutafuta kazi tu peke yake ni kazi. Sa sijui unataka kazi yann tena Sent using Jamii Forums mobile app
  11. chibu v8

    JamiiForums Tanzania Nawashangaa wanawake wanaopigwa kama punda na waume zao na bado wanang'ang'ania

    Mdogo wako hua anapigwa na kupigwa nao vizuri. Ndo maana anaenda kila siku. Safff kakutana na mwanaume mashine mwanaume makonzi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. chibu v8

    JamiiForums Tanzania TUJADILIANE: Je Elimu ina umuhimu gani kwenye mahusiano?

    Faida yake imeleta neno BABY... Sent using Jamii Forums mobile app
  13. chibu v8

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Mr Nice, nilitaka kumuweka Bwana wa Wolper kwenye Video yangu ya Sina - Harmonize

    Ooh mama Sent using Jamii Forums mobile app
  14. chibu v8

    JamiiForums Tanzania Sampuli ya mkojo wa Agness Masogange wakutwa na Heroin

    Haahaaa mi nilifikiri UTI kumbe mambo yake bas yangoswe tumuachie Mazoea Sent using Jamii Forums mobile app
  15. chibu v8

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike wa kuchat naye umri uwe 18 - 28

    Hahahahhaaa sa kuchart na umri vinahusiana nn sema natafuta demu usaidiwe. Wengine tunao watatu mpaka wote sema tukupatie toke mmoja Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom