Mimi ni binti, umri miaka 24,kwa upande wa elimu nimemaliza diploma mwaka huu mwezi wa 6 chuo cha utumishi wa umma nimesomea fani ya utunzaji kumbukumbu na nyaraka
Kwasasa ninavyeti viwili cha level 4 na 5 level 6bado havijatoka ninatafuta kazi yoyote kwa sasa nikisubiri cheti changu nipo dar es salaam, na nipo tayari kufanya kazi dar es salaam.
Kwa mawasiliano zaidi naomba uje [emoji395] (inbox)
Sent using Jamii Forums mobile app