Recent content by Chi86

  1. Chi86

    Nauza desktop dell. Tsh 85,000/=

    Duuuh
  2. Chi86

    Hatimaye Kessy apanda ndege, awa wa kimataifa!

    Pamoja na kumfadhili na kumpeleka ulaya bado kathubutu kuvaa rangi ya uganga
  3. Chi86

    Yanga yamtupia virago Salumu Telela!!

    Hahahahaha... Mido...Control chumba kizima ngoja aende akajaribu maisha sehemu nyingine, sikuwahi kumshabikia huyu mchezaji...
  4. Chi86

    Ilala wakusanya Sh1 bilioni ndani ya siku tano

    Matumizi bei gani?
  5. Chi86

    Mike Tyson was overrated

    Nilijaribu kupitia mapambano ya Ali YouTube leo asubuhi nilivyomaliza nikawaza kama ulivyowaza ww, nikasema Ali kapigana na watu manguli ile mbaya, Kuanzia Frazier, Foreman, N.k
  6. Chi86

    Couple mpya mjini, Aslay na Rubi

    Hahahaha,
  7. Chi86

    Vibonde England kukiona cha moto kwa Russia.

    England wanapiga mpira mwingi sana...
  8. Chi86

    Nahitaji Laini ya Tigopesa, Airtel Money & M-pesa

    Asilimia 10% wanakata katika makato ya makampuni ya simu na sio katika hela ya mlaji...
  9. Chi86

    Nahitaji Laini ya Tigopesa, Airtel Money & M-pesa

    0657740091 Call 0713726581 WhatsApp Nicheki mkuu
  10. Chi86

    Nahitaji Laini ya Tigopesa, Airtel Money & M-pesa

    Habari zenu wakuu, Tafadhali mwenye nazo anipm tufanye biashara wakuu..
  11. Chi86

    Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

    Ahsante
  12. Chi86

    Waraka: Shule 11 za Serikali Hazitahusika na Utoaji wa Elimu Bure

    Hizo shule 11 wanaenda kusoma watoto wa wakubwa halafu watoto wetu waendelee kuwa mambumbu (malofa) Mimi mtoto wangu hatosoma elimu ya bure
Back
Top Bottom