Nauza desktop dell. Tsh 85,000/=

lwampel

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
249
55
Nauza used desktop dell(pichani).
Hard disk 40GB
Ram 512MB
Processor 2.8Ghz
DVD Rom.
Pentium 4
Nb. Haina screen. nakupa kompyuta, mouse, keybody na cable zake tu.
Bei ni shilingi elfu themanini na tano tu.
Waweza piga au kutuma mesj
0718 964795
 
Picha
 
Attachments

  • IMG_20160618_160523.jpg
    IMG_20160618_160523.jpg
    55.9 KB · Views: 46
Mhuuuh ndogo kiasi hiko halafu haina monitor au monitress wala TOD kweli bongo kila mmoja anatafuta namna ya kuishi
 
Mhuuuh ndogo kiasi hiko halafu haina monitor au monitress wala TOD kweli bongo kila mmoja anatafuta namna ya kuishi
Kwani umelazimi
Mhuuuh ndogo kiasi hiko halafu haina monitor au monitress wala TOD kweli bongo kila mmoja anatafuta namna ya kuishi
Ujalazimishwa kununua kama unaona bei kubwa au. Kama unataka mashine kubwa sizipo madukani nenda kanunue we wa wapi wewe..
 
Mhuuuuuu jamaa kawaka baada ya kusema ukweli kwamba anauza kakomputa kenye ram mb 512 na ka hard disk 40 Gb na hakana monitor wala monitress halafu ni ka yuzidi kakatumia mpaka sasa kanahitaji kwenda kwa fundi ndio uje umuuzie mwenzako matatizo
Kweli wewe mbinafsi
 
Nauza used desktop dell(pichani).
Hard disk 40GB
Ram 512MB
Processor 2.8Ghz
DVD Rom.
Pentium 4
Nb. Haina screen. nakupa kompyuta, mouse, keybody na cable zake tu.
Bei ni shilingi elfu themanini na tano tu.
Waweza piga au kutuma mesj
0718 964795

Haijazimwa na tcra? Maana jamaa wamezima IMEI feki zote za tablet, modem na simu ila kwa sifa ya hilo gobole lako nalo lilistahili kuzimwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom