Ilala wakusanya Sh1 bilioni ndani ya siku tano

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Meya wa Ilala, Charles Kuyeko .

Manispaa ya Ilala imekusanya Sh1 bilioni ndani ya siku tano, ikiwa ni mkakati wao wa kuhakikisha wanafikia lengo la kupata mapato ya Sh55 bilioni katika miezi sita ya mwanzo ya Serikali ya awamu ya tano.

Meya wa Ilala, Charles Kuyeko aliyembatana na Naibu Meya Omary Kumbilamoto na Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Isaya Mngurumi amewaambia wanahabari leo kuwa mapato hayo yamekusanywa kutoka katika vyanzo mbalimbali ikiwamo kodi ya majengo.

Kuyeko amesema mafanikio hayo ya kukusanya kiasi hicho cha fedha pia, yametokana na kikosi kazi kilichoundwa na manispaa hiyo ambacho kina lengo ya kufuatilia ukusanyaji wa mapato kwa muda wa mwezi mmoja.

“Kila hatua tutakayofikia tutakuwa tukitoa taarifa. Kuhusu kampeni hii ya ufuatiliaji wa ukusanyaji wa mapato,” amesema Kuyeko.
 
Attachments

  • pic+ilala.jpg
    pic+ilala.jpg
    8 KB · Views: 26
Safi sana ila hizo fedha zitumike vizuri kuwaletea maendeleo wana wa DAR.Sio ziishie kkwa wajanja tuu.
 
Meya wa Ilala, Charles Kuyeko .

Manispaa ya Ilala imekusanya Sh1 bilioni ndani ya siku tano, ikiwa ni mkakati wao wa kuhakikisha wanafikia lengo la kupata mapato ya Sh55 bilioni katika miezi sita ya mwanzo ya Serikali ya awamu ya tano.

Meya wa Ilala, Charles Kuyeko aliyembatana na Naibu Meya Omary Kumbilamoto na Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Isaya Mngurumi amewaambia wanahabari leo kuwa mapato hayo yamekusanywa kutoka katika vyanzo mbalimbali ikiwamo kodi ya majengo.

Kuyeko amesema mafanikio hayo ya kukusanya kiasi hicho cha fedha pia, yametokana na kikosi kazi kilichoundwa na manispaa hiyo ambacho kina lengo ya kufuatilia ukusanyaji wa mapato kwa muda wa mwezi mmoja.

“Kila hatua tutakayofikia tutakuwa tukitoa taarifa. Kuhusu kampeni hii ya ufuatiliaji wa ukusanyaji wa mapato,” amesema Kuyeko.

Kumbe haya yanawezekana..... Tukidhamiria..... Hongereni sana kwa waliohusika katika mipango na utekelezaji wa hili
 
Meya wa Ilala, Charles Kuyeko .

Manispaa ya Ilala imekusanya Sh1 bilioni ndani ya siku tano, ikiwa ni mkakati wao wa kuhakikisha wanafikia lengo la kupata mapato ya Sh55 bilioni katika miezi sita ya mwanzo ya Serikali ya awamu ya tano.

Meya wa Ilala, Charles Kuyeko aliyembatana na Naibu Meya Omary Kumbilamoto na Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Isaya Mngurumi amewaambia wanahabari leo kuwa mapato hayo yamekusanywa kutoka katika vyanzo mbalimbali ikiwamo kodi ya majengo.

Kuyeko amesema mafanikio hayo ya kukusanya kiasi hicho cha fedha pia, yametokana na kikosi kazi kilichoundwa na manispaa hiyo ambacho kina lengo ya kufuatilia ukusanyaji wa mapato kwa muda wa mwezi mmoja.

“Kila hatua tutakayofikia tutakuwa tukitoa taarifa. Kuhusu kampeni hii ya ufuatiliaji wa ukusanyaji wa mapato,” amesema Kuyeko.
Hiyo iwe ni salaam kwa ccm kuwa wana ukawa wapo kikazi zaidi
 
Tuna muombea meya wetu wa ilala aongeze bidii maana hii ndiyo njia pekee ya kutuhakikishianushindi wa kishindo 2020
 
Vijana wa Lumumba wapo busy kutoa ripoti ni kwa namna gani wametuakana wapinzaniii leo
Wakimaliza tu kula ujira wa kazi yao watakuja hapa na povu,
wakati kazui inayofanywa ni ya serikalii pia
 
Meya wa Ilala, Charles Kuyeko .

Manispaa ya Ilala imekusanya Sh1 bilioni ndani ya siku tano, ikiwa ni mkakati wao wa kuhakikisha wanafikia lengo la kupata mapato ya Sh55 bilioni katika miezi sita ya mwanzo ya Serikali ya awamu ya tano.

Meya wa Ilala, Charles Kuyeko aliyembatana na Naibu Meya Omary Kumbilamoto na Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Isaya Mngurumi amewaambia wanahabari leo kuwa mapato hayo yamekusanywa kutoka katika vyanzo mbalimbali ikiwamo kodi ya majengo.

Kuyeko amesema mafanikio hayo ya kukusanya kiasi hicho cha fedha pia, yametokana na kikosi kazi kilichoundwa na manispaa hiyo ambacho kina lengo ya kufuatilia ukusanyaji wa mapato kwa muda wa mwezi mmoja.

“Kila hatua tutakayofikia tutakuwa tukitoa taarifa. Kuhusu kampeni hii ya ufuatiliaji wa ukusanyaji wa mapato,” amesema Kuyeko.
Kwa magufuli kila goti litapigwa msiwaze.
 
Back
Top Bottom