Recent content by chetambala

  1. C

    Nimewachukia sana wanaume mnisamehe

    [QUeaOTE="lufuo, post: 16719938, member: 275315"]Wanaume nimewagopa sana sina hamu na nyie. Nilikuwa na mchumba nikapata mimba akawa amefurahi sana basi tukakubaliana tukwaweka mikakati yetu. Tulikuwa tunaishi mkoa moja mm nikapata kazi mkoa mwingine ikabidi tuwe mbali ila tukawa tunaonana mara...
  2. C

    Mgombea urais anapokiri hajui siasa!

    hapa magufuli alishindwa kujieleza kama kawaida yake, nilivyo mwelewa yeye sio mwanasiasa akimaanisha hizi siasa za maji taka za bongo, siasa za maji taka hata kwenye mambo ya msingi which I support him
  3. C

    Buzwagi: Lowassa Alikuwa London Siku Ya Mkataba

    leteni sera sio kuchafuana, kunaaliya msafi huko ukiachia Nyerere, mbona ESCROW, MEREMETA, EPA, hati chafu zote, nk hamsemi? leteni hapa mascandle yote
  4. C

    Buzwagi: Lowassa Alikuwa London Siku Ya Mkataba

    kama vipi wekeni mikataba yote hapa na scandle zote hapa kuanzia EPA, RICHMOND, MEREMETA, ESCROW,nk
  5. C

    Buzwagi: Lowassa Alikuwa London Siku Ya Mkataba

    leteni sera za vyama sio mambo ya kale hayata saidia kumletea shibe mtanzania
  6. C

    Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    walisema vua gamba vaa gwanda sasa mtu amevua gamba na kuvaa gwanda inakuwa shida tena:A S-rap:
  7. C

    Tafsiri ya kaulimbiu ya "Safari ya Matumaini" ni kiashiria cha kutokuwa na uhakika!

    of course ni safari ya majaliwa. unakuwaje na uhakika kama watu zaidi ya 20 wataka the same post. Unless wewe ni haini wa serekali
  8. C

    Tafsiri ya kaulimbiu ya "Safari ya Matumaini" ni kiashiria cha kutokuwa na uhakika!

    of course ni safari ya majaliwa. unakuwaje na uhakika kama watu zaidi ya 20 wataka the same post.
  9. C

    Tuhuma kwamba Mhe. Lowassa anatumia pesa sasa zikome

    CCM hakuna msafi, kati yao hao wote wametumia fedha tatizo kunya anye kuku akinya bata kaharisha.
  10. C

    Membe: Kikwete siyo kaka yangu

    asitudanganye hawa ni baba mmoja. sisi tutaamini kwa matokeo ya DNA tu pale kwa mkemia mkuu na si kwa maneno
  11. C

    Membe: Kikwete siyo kaka yangu

    watu wanapaswa kuelewa kuwa Lowasa ana fedha kama anafanya kitu chochote fedha lazima ionekane. yaani hata mengi akifanya safari na wewe ukifanya safari ileile Mengi ataonekana anatumia hela nyingi. Huo ndo ukweli
  12. C

    Pole sana Lowassa, maadui wako ni wana CCM wenzako

    Lowasa ni Mzuri ila timu yake hata mimi inanitia shaka
  13. C

    Kariakoo kuwe na shopping mall moja, ianzie Fire, Uhuru, Kisutu na kuishia Jangwani pembezoni

    Chetambala take:kuendelea kufikiria Kariakoo ni fikira mgando Kinachopaswa kufanyika ni katika Mikoa Mitatu ya Dar kujenga hiyo Utopia shopping moles unazo ongelea moja Temeke, Kinondoni na Ilala. Kariakoo ibaki Makumbusho. Tujenge vitu vya ukweli embezoni, sio kila kitu KKoo na Posta, hizo ndo...
  14. C

    ACT - Wazalendo waomba kujiunga na UKAWA

    ACT ni ikithibitishwa sio CCM 2 wakaribishwe UKAWA otherwise ni shiiiiiiidaaaaaaaaaaaaaaaaa
Back
Top Bottom