Recent content by chesttz

  1. chesttz

    Tanzania kuanza kutumia 5G. Sheria ya kulinda Taarifa binafsi za Wananchi yaja

    hiyo 4g yenyewe pasua kichwa kwao itakuwa hyo 5b na mpaka leo bado makampuni ya simu bado wapo katika 3g
  2. chesttz

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

    kma enzi ya vita ya ghuba na waziri wa habari wa iraki zama zile
  3. chesttz

    GE2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

    bt kwa watu wa android kwa iphone inazngua
  4. chesttz

    Top 6 ya ving'amuzi bora Tanzania vyenye wateja wengi, Unachotumia kipo?

    Dstv ndio baba lao Sent using Jamii Forums mobile app
  5. chesttz

    Kama wewe ni mwanaume masikini, ukioa mwanamke toka familia masikini jiandae kuwa masikini zaidi

    hayo maneno c kweli hata mama yako aliolewa na baba masikini
  6. chesttz

    Dstv sio wema kuwa makini

    katika watu ambao wanajari wateja hakuna kma dstv labda tv yako ndio shida ila nenda ktk ofisi zao waelezee tatizo lako na nenda na hyo dekoda yako kuna team yao ya mafundi watakushughulikia tatizo lako au umetumwa na wengineo wenye ushindani wa kibiashara na dstv
  7. chesttz

    Kibongo bongo iPhone ni taashira ya hadhi au?

    mbona sumsung ndiocm za bei nazo iphone sio user frnd
  8. chesttz

    Nataka nijiunge na DSTV, vipi kifurushi cha mambo kina chaneli nzuri?

    kifurushi cha bomba nibomba kweli ingia ulimwengu wa hd hakuna chenga wala vyenga
  9. chesttz

    Vicent Mritaba Meja Jenerali Mstaafu wa JWTZ Apelekwa South Africa kwa Matibabu

    MUNGU ATAMSAIDIA INSHAALLAH TUZIDI KUMUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU APONE HARAKA
  10. chesttz

    Tetesi: Diamond Platnumz ampeleka Ommy Dimpoz polisi

    kumtukana mzazi wa mwenzio ni ukosefu wa adabu na sio maadili yetu ya kitanzania na ahta kuna faragha waliifanya haipaswi kuweka hadharani
  11. chesttz

    Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

    haya mgosi twakuteegeeza
  12. chesttz

    Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

    haya toghoa mgosi mm sina mbuyi na kwi kaya
  13. chesttz

    decorder ya chanel za bure.

    je mimi nina samsung 23 inch ledtv 4series je ninapata station bure?
Back
Top Bottom