Mkuu we acha tu hizi mambo...unakua kama lofa flani hivi na unakua huoni value ya unachokitoa ila ukipata mzigo majuto huja...Sasa mwenzetu hata mzigo hakupata na kahudumia inauma sana
Mkuu kuna mahala mleta uzi alijaribu kusahihisha na kusema dhahabu ni Tsh bil 3 na sehemu afu pesa cash ilikua Tsh Mil 360 sasa calculations zangu zimebase hapo...Othewise nakubali kujikuna
Kwa wanaosema Chaser haiwez kubeba Gold ya Bil 3, fanya mahesabu haya kidogo...1g of pure gold =94,000/ Tsh sasa chukua hio Bil 3 gawia 94,000/- unapata approximately 3100g of gold,sasa hii kwa kipimo cha kg it's almost 31 kilograms of gold ambazo zinawezekana kabisa kubebwa kwenye gari...
Mkuu pale ERB wanahitaji cheti cha form 4,6/dip pamoja na matokeo ya degree ya kwanza (Academic transcripts) au cheti kama unacho na sh ef 5,baada ya miezi miwil unapewa namba ya usajir. ...Utalipia ef 30 kama ada ya mwaka as a graduate engineer...hio IET sio lazima
Hio PCM , afu nikaja kupambana nayo tena kwenye Engineering mathematics 3 Chuo hatar sana hayo madubwasha akili lazima ikukae sawa...unagonga triple integral afu unaambiwa uchange order acha bhana...
Oljoro JKT op Miaka 50 ya Muungano....asee m namiss mabio tu na kutafuna mahindi makavu njaa ikikutandika ukiwa unavuna mahindi Embakasi/Shamba dunia...ila ukitoka kule swala la aibu ya kukaa uchi inaondoka....kunya vichakani dah asee
Kwa experience yangu ndogo chuoni...hakuna aliewahi kupotelewa vyeti ndani ya mazingira ya chuo visipatikane (watu wengi wa chuo wanafahamu umuhimu wa vyeti hivyo);so best option kwa sasa nikuonana na viongozi wa serikal ya wanafunz (DARUSO) watakusaidia sana mkuu kukutangazia...All the best
Kuna masomo chuo usipokua na PC utateseka sana imagine unasoma Computer Aided drafting (AutoCad ) afu hauna hio pc inakua shida...kingine kulingana na mabadiliko ya ki technology wahadhiri wengi wanapenda kaz ziwe typed ili kurahisisha usomaji (kuna watu wana miandiko mibovu hatari ) na...
Hawalimi tena na kupangiwa zamu za kuhudumia banda la nguruwe?? Kwenda ulokoni na kuangalia mpira kwa mzee katemana....Kuna kipind linapita gharika la ukaguzi wa simu asee hata kama una SIM card inakula kwako
Nimepita pale 2012 nilikua Ruhinda bweni la mwisho kabisa kuelekea pyramid....asee asikwambie mtu ile n JKT mchaka mchaka kwenda bugashani,BLTC bado issue ya kulima,ukienda kuangalia mpira nje ya shule jiandae kula nyama zilizoganda...Nyakato mama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.