- Thread starter
- #41
Nafahama, lakini hayo majaribu unadhani atakuwa hajajaribu tu. Huko atakuwa aliisha jaribu ,mabinti hawa mhmm.Haina shida, hiyo inatumika kama fashion tu, si unajua watoto siku hizi wanaenda na wakati bila kujali kuwa pesa inatakiwa kuelekezwa kwnye matumzi sahihi na kwa wakati sahihi. Hatahivyo, ni vizuri kuwa umemnunulia na kumwepusha na vishawishi maana angeweza kuitamani hadi kumwomba mtu amnunulie na kumwingiza kwenye majaribu.