Mungu ni mmoja tu na hatishiwi mawe wala barafu, ila vijimiungu viko vingi na vina majina kibao mengine hujawahi kuyasikia tangu uzaliwe na mengine hutayasikia hadi unakufa!!
Uliza waliotembelea india, china, japan, singapore, burma, tibet, na maeneo mengi ya mashariki ya mbali, au gugo 'gods'...