Updates: Kesi ya Mpendazoe v/s Mahanga

Je Prof. Juma ataweza kutoa hukumu itakayomgusa vibaya Waziri? Napenda sana nione jinsi Mahakama zetu zinavyotenda haki bila kuingiliwa. Kwa jinsi upepo unavyo kwenda, ni dhahiri matokeo ya Ubunge Jimbo la Segerea yakafutwa. Bado najiuliza, ilikuwaje huyu Mh. akapewa uwaziri wakati haya malalamiko yalikuwepo tangu uchaguzi. Hii inatuondolea imani sisi wananchi ya kuwa serikali yetu haina viongozi safi wasiopewa shaka na wanaowaongoza.
 
CCM ni wajanja sana katika hili. Walijua kuwa mbinu zao za wizi zimeng'amuliwa na kwamba Mpendazoe akienda kortini lazima Mahanga aenguliwe. Nadhani CCM wameshaanza kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa jimbo la Ukonga na huko pia "WataIgunga" uchaguzi huo. Ni vyema mwizi huyu wa kura akafunguliwa mashtaka ya wizi wa kuaminiwa wa stahili za wananchi wa Ukonga na azuiwe kupigania chaguzi yoyote ile inayosimamiwa na NEC. Hii ndio njia pekee ya kuondokana na mafisadi wa kura.

huyu sasa anavunja rekodi, kila listi yeye yumo: mafisadi wa elimu, mafisadi papa,nguru na kambale, na sasa kwenye listi mpya ya mafisadi wa kura, mods piga ban huyu kama ni memba katika hii foram yetu....khaaaa!!!
 
Back
Top Bottom