Tofauti kati ya Kikwete, Pinda na Lowassa

Tofauti kati ya Kikwete, Pinda na Lowassa

Ukishindanisha vilaza kuna mmoja lazima awe na afadhali. Kwa hilo lowasa yuko juu.
 
Huwezi elezea tofauti ya watu wakubwa watatu kwa paragraphy tatu, huu ni uvivu! remove the stupidy post, we have a lot to do to look at an attractive subject with the stupidy contents

waweza ongeza para nyingi tu kujazia minofu kwenye skeleton, e.g mmoja anabrashiwa viatu na suti za bei kali toka arabuni, simpo and klia kabisa, why not eeeh??!!
 
Tofauti zao ni hizi:-

Mh. Kikwete ni Rais wa TZ kwa kuchaguliwa,
Mh. Pinda ni Waziri Mkuu TZ kwa kuteuliwa na Rais,
Ndg. Lowassa alikuwa Waziri Mkuu wa TZ aliyejipima mwenyewe dhidi ya tuhuma za Ufuisadi akaamua kujiengua.
 
Back
Top Bottom