Recent content by chen

  1. C

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa ligi kuu NBC msimu ujao, kulingana na wachambuzi

    kelele za chura hazimnyimi.....kunywa maji
  2. C

    JamiiForums Tanzania Halmashauri zatakiwa kutobomoa nyumba za wananchi kwenye makazi holela

    ina maana gani kulipa 5000 kwa miaka mitano au ndo maandaliz ya kampeni za ccm
  3. C

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    Habari wana jf nimekutana na demu wangu siku saba baada ya hapo akapata hedhi . Tukakaa akanipigia simu akaniambia siku zake hazioni na ni siku ya thelathin ktk mzunguko wake.tatizo linakuja hivi ananiambia ana ujauzito wakati nimemuacha akiwa anableed.sasa mimba ni yangu au naibiwa naombeni...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Duka la vyakula rejareja

    Mi ni kijana umri miaka 23 nina aidia ya kufungua duka la vyakula rejareja maeneo ya Kigambon ila sina uzoefu na biashara na nikiazio kipi cha mkwanja wa kuazia hadi sasa nina 60,0000. NAOMBA MSAADA KWA WENYE UZOEFU NA BIASHARA.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme magari madogo

    natafuta kampun au workshop ya kufanya kazi ya utengenezaj magari madogo upande wa electric system.nisaidien tafadhal
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wazo la leo

    mi naweza
  7. C

    JamiiForums Tanzania NEWS, barabara ya morogoro road yafungwa

    habari zilizo nifikia hivi punde kwa wale wanaotumia barabara ya morogoro road imefungwa kutumika leo,serikali inawaomba radhi kwa usumbufu utakao tokea kwani kuna babu anajifunza baiskel
  8. C

    JamiiForums Tanzania Shule bora za Serikali A-Level

    pugu boys PCM,PCB na EGM
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    mimi natumia saa 1 kupiga bao 1 na siwezi endelea na mchezo mpaka saa 1 liishe ndo naweza endelea na mchezo tena
  10. C

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    ngoshwe nimekuelewa vilivyo ahsante
  11. C

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    Mke wangu anatoa uchafu mweupe kila nifanyapo tendo la ndoa .naomba ufafanuz kwa anae lijua tatizo hili?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kifo cha msanii mwingine.

    IDD NDUKA kama sija kosea
  13. C

    JamiiForums Tanzania Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

    boro-rombo
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali

    wandugu asanten kwa ushauri wenu,
  15. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali

    kuboresha nyumba na nina uwezo wa kujitegemea kwani nimeajiriwa ktk kampun moja hapa mjin na nalipwa mshahara si mbaya sana
Back
Top Bottom