Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

Tazara, Mchicha, Karakana, Vingunguti (aka mahakama ya mbuzi), Sido, Msaada jet, Kipawa, Airport, Posta, Majumba sita, Njia panda Segerea, Banana, Ukonga, Madafu, Mombasa.
 
MBEZI, cha mkaa, cha zamani, kwa msuguri, temboni, suka,gereji, stop over,.......................
 
Huwa napata mtihani sana kwani kituo changu cha daladala kinaitwa SAMAKI kiko hapa Mbezi Beach

Mara nyingi tukikaribia kufika utasikia konda anauliza Samaki wapo?

Dah, napata mtihani sana kusema TUPO...... (maana infwakiti mimi sio samaki ni mtu) BAHATI MBAYA ABIRIA WENGINE ILI ASIPITISHWE UTASIKIA SHUSHA SAMAKI

Je unajua kituo gani kingine ambacho ni "mtihani"?
 
duh, aisee halafu akonda hua hawana simile
Umenikumbusha kuna kituo kimoja wakati unaenda mororgoro kuna kijiji kinaitwa Senge mkififka hapo kama umepanda coaster utasikia konda anasema ------- wapo? Watu wanajibu tupo! Lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom