Recent content by Chemagati

  1. Chemagati

    Anayopitia Cyprian Musiba yanatukumbusha kuwa tusiishi kwa kumtegemea mwanadamu kama kinga

    Maisha ni utu na watu. Ulikataa utu na ukakosa watu. Pambana yatapita mwanaharakati wa kumtetea raisi(mtu)
  2. Chemagati

    Wanaume tuliowahi kula mtungo na wanawake mliowahi liwa mtungo tupeane uzoefu

    Mtungo au mande Miaka hiyo kitaa kina vijana wa rika langu wa kutosha, hapo mpira wa miguu na story kibao baada ya mpira. Hapo ndo nilipata mchongo Wa jamaa mmoja na kademu ka jirani na uwanja, nikapewa nafasi ya kupiga mande jamaa akifanikisha, kama zari wanaingia gheto mimi nikatimba story...
  3. Chemagati

    Rastafarians wamfanyia ibada Hayati Dkt. John Magufuli

    Uhuru Wa kuabudu, jah Rastafarian. Amani na upendo.
  4. Chemagati

    Bima ya mtoto wa mtumishi wa umma itasaidia matibu ya Moyo Taasisi ya Jakaya Kikwete?

    Bima inataratibu zake, nenda ofisi za NHIF pale Buzuruga watakupa taratibu. Pole
  5. Chemagati

    Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

    Unapitisha Gari kuna barabara halo au mazoea.
  6. Chemagati

    Mitihani ya form 6-PCB: Ndiyo maana ufaulu unakuwa mkubwa

    Advance biology ipo deep tofauti na o_level
  7. Chemagati

    Baada ya mitandao kufungwa, kilio kitaanza kwa wasanii

    Jamii forum naipata ila ile mingine haipatikani kabisa, naishukuru serikali ya awamu ya tano kwa kuibakiza jamii forum yetu na kuzima ya mabeberu. CCM oyyeeee Pongezi kwa Mwkt na rais John Pombe Magufuli kwa kushusha malaika akawazimia mtandao ma beberu.
  8. Chemagati

    Hii ndio faida ya kuwagawa mashabiki kwa itikadi, pole sana Zuchu

    Nitaweka bando Ku vote kwa zuchu, mwenyekiti katukosea sana kwa kuleta utengano kwa watanzania, enzi za mchonga tulisema watanzania ni ndugu. Zuchu hana kosa kafanya kazi yake ya sanaa kama mteja wake CCM alivyo taka, kwa kufanya kazi hakumuondolei utanzania wake. MPE kura ya tuzo zuchu, ni...
  9. Chemagati

    Kitambulisho cha machinga kimetengenezwa kwa technology ya kisasa kabisa ya smart card na barcode

    Kuna muda unamsoma mwandishi alafu unasema mhhh! Ivi ananidanganya hata Mimi ( in magufuli voice:_kandamiza kidogo
  10. Chemagati

    Naunga mkono Chu$$pi zisianikwe nje

    Kyupi za wadada zina vutia wakiwa wamevaa kwenye kamba ni kuwasumbua teenagers
  11. Chemagati

    Jiji la Mwanza halina taa za barabarani

    mtoa mada umeshindwa kuielezea vizuri mada yako kuna baadhi ya maeneo hakuna taa kabisa na baadhi zipo asa maeneo ya watu wengi, jamaa Wa CCM na CHADEMA mnatualibia mada kura yangu itaenda kwa mwakilishi Wa wali nyama
  12. Chemagati

    TANZIA Mwanamuziki mkongwe, Said Mabera afariki dunia

    Mabe mabe mabe mabe mabela. Hapo ni kwenye korasi ya wimbo wa msondo ni baada ya gitaa la said mabela kucharazwa kweli kweli
  13. Chemagati

    Hapa piga ua, talaka yangu utatoa tu...

    Msondo ngoma hapa moshi, ngurumo pale momba, masharubu na pembeni mabela na romarii. Nimekua sina raha apa nyumbani kila Siku maneno yako mama hayaishi mama, nimekua sina amani apa nyumbani kila Siku maneno yako mama hayaishi mama. Nakupa talaka kwa shingo upande.
Back
Top Bottom