Recent content by Chelsea Damu

  1. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, January 28

    Shangilieni Lipumba kupigwa ila ipo cku atapigwa baba yako km mtu amefata taratibu zote halafu ghafla unamstukiza asitishe mlikuwa wapi siku zote kumwambia hapana. Watanzania waoga ila hawa vijana mnaowapeleka jkt watakuja kulipa kisasi tu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Lipumba akamatwa na wafuasi wake, kisha waachiwa kwa dhamana!

    Hivi hawa polisi wanaopiga hovyo raia wanaishi mbinguni au dawa ukikutana nao mtaani nao wapigwe tu.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Mahakama ya Kadhi kutikisa Bunge

    Hivi hawa ndugu zetu mbona wabaguzi sana shuleni wakadai vijuba na suruali kwa watoto wa kike wakaruhusiwa ss wamekuja na mahakama ya kadhi wajenge wenyewe na wajitegemee.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania haitopata rais kama Kikwete

    Na aliyeongoza kwa kusafiri km yeye
  5. C

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha mafunzo ya JKT

    Bora yaendelee ili wezi wa kura waje wapambane kwenye uchaguzi ujao
  6. C

    JamiiForums Tanzania Sitta, Kilango na Lukuvi hawafai nafasi ya Uwaziri - Dr Slaa

    Uzinzi tu unamsumbua prof wa kichina dini gani inamruhusu kuwa na wanawake kumi au pamoja na mkeo
  7. C

    JamiiForums Tanzania Sitta, Kilango na Lukuvi hawafai nafasi ya Uwaziri - Dr Slaa

    Kwani prof wa kichina anawanawake wangapi
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 150 DUCE wapata mimba

    Wanadanganyika kuolewa na Pete za uchumba za chuoni wakimaliza chuo mapenzi yanaishia hapo hapo sio wote wenye hali mbaya chuoni
  9. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwaminifu wa kuoa alie tayari kuolewa

    Kama anataka mwanamke mwenye hiyo elimu akasubiri wanaomaliza na km weupe wapo wengi kuliko weusi
  10. C

    JamiiForums Tanzania CCM mnawakomoa wananchi, sio UKAWA!

    Kumbe alisema ss pesa iliyopo serikalini kwani ni ya ccm au ya kwetu. Mbona kikwete alisema ataleta meli ziwa Victoria mpk leo hatujaiona mbaya zaidi na iliyopo ni mbovu.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Warioba atajwa urais kupitia UKAWA

    Magamba aibu ya mwaka yanajiandaa kuiba kura ili yapitishe katiba yao
  12. C

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema na Salum Mwalimu kuhutubia mkutano wa hadhara Nzega uwanja wa Packing

    Kama pesa za iptl hao wanaopelekwa mahakani wamekosa nini nyie magamba
  13. C

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema na Salum Mwalimu kuhutubia mkutano wa hadhara Nzega uwanja wa Packing

    Ngoja makamanda waungurume maescrow tumeyachoka
Back
Top Bottom