Weston Songoro
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,793
- 1,086
ndio kabisa, wakiongozwa na kiongozi wao Paul makonda!!Kundi la bavicha ndiyo walifanya hiyo kazi.
Watafanyaje sasa Mkuu ilhali hawana mgombea Urais hadi sasa?hiyo itakua a very wrong move aisee, wakimuweka huyu babu nchi hii inarudi CCM kwa zaidi a 80% kura.. bora waweke mtu ambaye ataleta competition kdg
Una uhakika na hayo uliyoandika?ndio kabisa, wakiongozwa na kiongozi wao Paul makonda!!
Watafanyaje sasa Mkuu ilhali hawana mgombea Urais hadi sasa?
Unanini au unatindikali?
Sasa hapo ugomvi uko wapi kama kweli unamacho.
Tulishajua toka mwanzo kuwa Warioba ni kibaraka wa UKAWA. Mpaka sasa UKAWA hawana mgombea Proper kwenye nafasi ya urais
warioba na ukawa watapata aibu ya mwaka hatuchagui tena Rais mwenye nywele nyeupe tunataka umri wa kati.
Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) inadaiwa kuwa unakusudia kumsimamisha Jaji Mstaafu, Joseph Sinde Waryoba kuwania Urais mwaka huu dhidi ya wagombea wa vyama vingine, kikiwemo chama cha Mapinduzi (CCM).Vyanzo vya habari kutoka ndani ya UKAWA vimeeleza kwamba uamuzi wa kumsimamisha Jaji Waryoba unazingatia vigezo mbalimbali kikiwemo kuepuka mvutano baina ya vyama hivyo vinne vinavyounda huo umoja juu ya nani awe mgombea wao wa urais .
View attachment 219818
Source: DIRA YA MTANZANIA.