Wanafunzi 150 DUCE wapata mimba

Wanafunzi 150 DUCE wapata mimba

Status
Not open for further replies.
Wanadanganyika kuolewa na Pete za uchumba za chuoni wakimaliza chuo mapenzi yanaishia hapo hapo sio wote wenye hali mbaya chuoni
 
Wanafunzi 150 kati ya 1.000 waliojiunga mwaka jana katika chuo kikuu kishiriki cha ualimu Dar es salaam (DUCE) wamebainika kuwa na ujauzito waliopewa na wenzao chuoni hapo!

Chanzo: Mwananchi

Nijuavyo Mtu Akishafika Hadi University Tayari Ni Matured Enough So Sioni Kibaya Hapo Na ktk Vigezo Vya Habari Hapo Mwananchi Wamepepesa Kitaaluma Kwani Wana Deal Na The Obvious. Ingekuwa Wasichana Wa Jangwani au Zanaki Wamekumbwa Na Tatizo Hilo Basi Ndiyo Ingekuwa Na Mashiko..........Tena Mimi Binafsi Naona Kama Vile Idadi Hiyo Ni Ndogo Na Nawalaumu Mno Na Sana Hao Mabinti Kuwa Kwanini Hawabebi Mimba Wote Chuo Kizima Na Wanawaachia Tu Hao Wenzao Wachache 150 Ndiyo Wabebe Ujauzito?
 
Mkuu hapo ni waliokutwa na mimba je waliotoa ni wangapi? huenda hao buku wote wametoa, kweli tutapona.
 
Mkuu hapo ni waliokutwa na mimba je waliotoa ni wangapi? huenda hao buku wote wametoa, kweli tutapona.

Nani aliyekwambia kuwa na mimba ni ugonjwa? Wewe Dada yetu umeshajaribu kubeba? Na vipi uliumwa ugonja gani!?
 
Sasa wana wasiwasi gani wakimaliza wana uhakika na ajira. Tena wapongezwe kwa kuwa hawatoi mimba....
 
Hivi kupata ujauzito ni ajali? Mtu ambaye yuko chuo ni mtu mzima hawezi pata ujauzito kwa kushawishiwa na mtu mzima mwenziye bila kuridhia. Wangekuwa wako elementary au ordinary level ningekubali kuwa kuna vishawishi lakini kwa hili napinga hoja. Wakiacha kuzaa kwa umri huu walionao mnataka wazae in their fourties? You cant be serious
 
mmmh! kuna jamaa anatukanaga watu anasemaga

"HUNA AKILI KM TICHA WA PRIMARY"

vijitu vinawaza ngono tu ngono tuuu...umaskini kwa wengine ni haki yao kabisa
 
Hivi kupata ujauzito ni ajali? Mtu ambaye yuko chuo ni mtu mzima hawezi pata ujauzito kwa kushawishiwa na mtu mzima mwenziye bila kuridhia. Wangekuwa wako elementary au ordinary level ningekubali kuwa kuna vishawishi lakini kwa hili napinga hoja. Wakiacha kuzaa kwa umri huu walionao mnataka wazae in their fourties? You cant be serious

anaye mpa mimba kajiandaa kulea km unasema sio ajali---mostly uko kukarahishana tu na wazazi/walezi na inaashiria ni mmomonyoko wa maadili tu tusizunguke
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom