Recent content by Chelasa

  1. C

    JamiiForums Tanzania UKAWA kusambaratika kabla ya Oktoba

    UTAsambaratika ww.act ccm. ila sio ukawa.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kifo cha CCM kimetimia

    Acha kulalamika. Wewe ndie mwajili mkuu wa ccm.sasa saa imefika muondoe hafai.tumia kura yako.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nimekitupilia mbali rasmi King'amuzi cha Startimes

    WANAOWASUKUMA kisiasa ni wale magamba hayataki uwazi.nanyi startime mnajihalibia kibiashara mbona mnapenda kutumika?.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limezuia msafara wa Halima Mdee

    POLICE ccm.mtahangaika sana lakini mabadiliko lazima.na mtatumiwa sana.hamwaoni majambazi akili zenu zote ni kwa CDM TU.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Tarime waamka

    safi sana chadema kwa kuelimisha wananchi.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe ishukuru CCM kwa kukupigia kampeni ya nguvu

    Chadema chama chenye viongozi wenye mtazamo yakinifu.ambao ndio mkombozi wa watanganyika.ukiwemo na wewe unabisha tu.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya popo

    SIMTAKI kabisa huyu ndege mnyama kwanza anasababisha ebola
  8. C

    JamiiForums Tanzania CCM KATU HAWATOWEZA KUULAZIMISHA umma ufuate wanachotaka wao never ever !!

    HAYA YOTE NI UROHO WA MADARAKA hakuna jambo lisilo na mwisho.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...

    MFA maji huyo yeye ni msaliti tu.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi Tarehe 12 Juni, 2014 - Bajeti Kuu ya Serikali

    maendeleo kwa mafisadi maskini kunyojwa kudhurumiwa na kunyanyaswa.watupandishie kod matajiri wasahewe.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

    POLEN SANA wamachinga
  12. C

    JamiiForums Tanzania Vurugu mitaani Mwanza kati ya wamachinga na polisi

    polen sana wamachinga huo ndio utawala wa selikari.yatz
  13. C

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na tapeli huyu anayejiita Beka Mfaume

    kuwa makini kwa kila kitu mjini hapa.we unatuma tu kirahisi.lakini umejifunza kutokana na kosa.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa UKAWA na Katibu Mkuu NCCR akamatwa na Polisi!

    selikali iliyopo ni kibogoyo bola ing'oke.ukawa imarisheni muungano wenu.msiwe kama wale ccm wao ni kuhujum tu.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Uchu wa madaraka tu utaweza kuiua UKAWA... vinginevyyo CCM haina lake 2015

    WANAUKAWA kama wanania ya dhati wataungana kwa ajili ya kuikomboa nchi lakini kama watakua na ulafi wa madaraka kama ...
Back
Top Bottom