Recent content by Cheku

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nina gundu, wanaume hawanitongozi

    Shida siyo sura Wala ila ni wewe mwenyewe mindset Yako kwanza hujikubali vile ulivyo hujiamini na hata ukipata mtu unamjulisha mapunguf yako unalalamika tu na vile unataka huyo mtu awe hakosei hakuna malaika jiikubali jiamini maisha Yako yapo mikononi mwako waganga ni wadanganyifu na dawa zao...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nina gundu, wanaume hawanitongozi

    Hauna gundu hujatulia una kisirani na hujajua unakosea wapi jitulize tu.Pia ni mapema mno.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mwanamke huhisi utamu wa ngono muda wote wa tendo?

    Hapana hakuna kitu kama hicho Tena anaweza kuanza na kutoka kapa kumridhisha tu huyo amalize.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ninauza mashine za kufua nguo

    Bado unauza hizi washing machine?
  5. C

    JamiiForums Tanzania HIJA ndani ya ISRAEL

    Kwenda Macca kuhiji au kwenda Israel kuhiji ni safari ya kiroho huwezi kuingilia Imani ya mtu au kumchagulia Nia yake kwenda huko.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kwa udi na uvumba dawa ya kuondoa vyakula tumboni ili kitambi kiishe haraka

    Njoo Edmark shakeoff itakufaa sana hela yako tu.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Habarini za humu ndani nashukuru kwa mafunzo niliyoyapata Mwenyezi Mungu awazidishie hekima.Naswali ni kweli kwamba mchawi anapotoa siri zake anaishiwa nguvu?Na kama ndo hivyo inakuweje anatesa watu hao ?Kuna mchawi anahangaika na mimi kipindi kirefu shida iliyopo sasa anasumbua watu baki...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ninayemdai amefariki na hatukuandikishana, nifanyaje?

    Unaweza kumdai labda kama mirathi imetangazwa sms zitakusaidia kwa ushahidi ni Haki yako kudai.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kuzaa nae ili aje arithi mali zangu

    Sina hakika na hilo labda umetumwa kafara Ili Mali ziongezeke kwanini ufikirie kufa?Inamaana kote huko ulikopita hujaona wadada mpaka utangaze?Kama uko sawa tafuta mtu utakayependana naye.siyo ilimradi msichana utajuta na hizo Mali zitaisha zote.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Sikiliza: Profesa Jay – Tatu Chafu mp3

    Namkubali Jay anatoa vitu vyenye akili!Shukran uliyeleta hapa!
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nimemtenda yeye, kulalamika mtaa mzima hadi ustawi wa jamii

    Wanaume wngekuwa hivyo mahusiano yangekuwa na nidhamu!!
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ndoa za siku hizi zinavunjika haraka tofauti na ndoa za zamani?

    Wanaume wa siku hizi hawajui kusimama kwenye nafasi zao badala yake wanakuwa watumwa kwa nyumba ndogo,kwenye familia zao hawashikiki muda wote wako buzy nasema ni buzy for nothing kwani kwenye majukumu ya pesa msaidiane.Wanakuwa wakali usiulize kitu wala usimwambie ,pia wanakuwa na siri...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ndoa za siku hizi zinavunjika haraka tofauti na ndoa za zamani?

    Wanaume wa siku hizi hawajui kusimama kwenye nafasi zao badala yake wanakuwa watumwa kwa nyumba ndogo,kwenye familia zao hawashikiki muda wote wako buzy nasema ni buzy for nothing kwani kwenye majukumu ya pesa msaidiane.Wanakuwa wakali usiulize kitu wala usimwambie ,pia wanakuwa na siri...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kizuri ulicho wahi kunifanyia mimi tangu tulipo anza mahusiano?

    Pesa, magari, zawadi ni vitu tu cha kumpa ni upendo wa kweli,uaminifu unavyomheshimu mama yako anafuata kuheshimika awe mkeo hayo mengine madoido tu.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kusini wanakuwa na watoto zaidi ya 3 kila mtoto na baba yake

    Kuzaa watoto kila mmoja Baba yake ni hulka ya mtu mwenyewe haijalishi ni kabila gani pia hakuna kabila linaruhusu hayo mambo kila mzazi anategemea kuona mwanae akiolewa na kuwa na mtoto ndani ya ndoa,the issue is mambo yamebadilika maadili hakuna tena mwanamke akiumizwa anafanya kukomoa...
Back
Top Bottom