bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,862
.
Hija ni tendo lakiimani, Islam ni imani pekee inayozungumzia neno Hija ktk kitabu chake kama ni ibada yenye mipaka yakisheria. Imani nyenginezo hawana ibada ya Hija kwenye vitabu vyao! Ndio maana nasema huo ni utalii wa kidini tu!
imani yangu ina ibada ya hija na wala usidanganye watu hapa
.
Tukitaka kufahamu jambo lolote, turudi ktk source yake. Hakuna ubishi hija ni neno la kiarabu "Al-Hajj" ni yule alietekeleza ibada ya hija ambayo hufanyika Makkah tu!. Hatujapata kusikia Al haj kutoka Israel, ataitwa jina jengine sio Hajj kwani Hija hufanyika makka tu!
kwa hiyo kiarabu hakina tafsir ya lugha nyingine??
usilete udni hapa bwana wengine sio anga zetu hizo....