Jamaa yangu tamaduni hazifanani, nimeishi kote huko ulipopataja ila lake zone ikiwemo mwanza chakula chao ni fresh sana, hakina mambo mengi artificial ivyo kinaleta nguvu za kutosha pia kinajenga mwili, lake zone yale matangazo ya nguvu za kiume na kurefusha dushe ni machache sana. Jombaa kula...