Mwanamke kila saa kwenye ma baaa mpaka saa 7 usiku,halafu akipigwa mzinga na gari nikakutoe,kisa nini?
Kufa na starehe zako....[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Ila angalau alikuwa na akili akabakisha risasi kadhaaa kwa ajili yake,
Maana kama angemaliza zote angekuwa anaminywa humbu mida hiii
Anyway endeleeeni kumiliki Mishedede wakati mna hasira za Mkizi
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Sent from my...
Unachanganyikiwa na nn?
Hujaridhika na unaetaka kumuoa?
Au umalaya wako umeshakula kicheche cha Mtaaani kinakuroga?
Mshirikishe Mungu kabla hujaaamua
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ila naona Mademu wao hawaliwi kimasikhara,
Ila tunawala kimasikhara,
Inawezekana wao huwa wanadhamiria kuliwa Ila sisi tunaona ni kimasikhara
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji120][emoji120]
Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
Kuna Ndugu yake Maxecence Yuko pale [emoji3575][emoji3575][emoji3575][emoji3575][emoji3575] na yeye ni mwendo wa bundle tuuuu,
Hata kushtuka hashtuki,Pamoja na Mwendazake kuondoka yeye wala hana habariii [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Sent from my V2027 using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.