Recent content by Chebe17

  1. Chebe17

    JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi kwenye gari, sehemu za wazi kama barabarani, etc ni kwanini, nini raha yake?

    Ndani ya gari tamu balaa. Hata sijui kwanini.
  2. Chebe17

    JamiiForums Tanzania Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

    Ingia chemba
  3. Chebe17

    JamiiForums Tanzania Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

    Ni kweli naelewa nilimaanisha zinazopelekwa kwenye hiyo nchi zinapimwa viwango
  4. Chebe17

    JamiiForums Tanzania Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

    1.4mil? Nikileta mpya kabisa ipo kwenye cover yake na niya ulaya nitauza ngapi? GB 64
  5. Chebe17

    JamiiForums Tanzania Shikamoo serikali ya awamu ya 5, nimefunga rasmi bar yangu

    Hapo umenena
  6. Chebe17

    JamiiForums Tanzania Shikamoo serikali ya awamu ya 5, nimefunga rasmi bar yangu

    Ila ni kweli watz walizidi kulewa mzhana, akinda lunch lazima ashushie. Baadhi ya Nchi za majuu huwezi kuta bar zimejamaa mchana. Pole sana utazoea tu
  7. Chebe17

    JamiiForums Tanzania Nimegundua ananisaliti, je nikimuoa atatulia?

    Atapiga chini wangapi? Wanawake asilimia 80 wanacheat. Hebu Anza kumchunguza wako
  8. Chebe17

    JamiiForums Tanzania Meninah afunga ndoa tena

    Ni mdogo wake jamani... Wamefanana sana
  9. Chebe17

    JamiiForums Tanzania 2020 sitampa kura Magufuli

    M
  10. Chebe17

    JamiiForums Tanzania Kama unakojoa chini ya dakika 7 elewa kabisa kwamba humridhishi mwenzako kabisa

    Hii ni kweli mimi ishanitokea
  11. Chebe17

    JamiiForums Tanzania Kama unakojoa chini ya dakika 7 elewa kabisa kwamba humridhishi mwenzako kabisa

    Si kweli bwana. Bila dushe starehe haijafika kikomo. Dushe ndio mpango mzima. Ukiona hivyo kuna mtu nje anaingiza
  12. Chebe17

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Jay Dee afunguka, atoa sababu za kuitosa ndoa yake

    Nadhani humjui G wewe wala usimtetee. Bora kamuacha. Halafu kachelewa mbona sana kumuacha, yaani angemuacha kitambo. Tuulize sisi wapenda starehe. Maana gazeti halitoshi
  13. Chebe17

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Hao wanaofanya unavyotaka wapo wapi? Kila mtu n staili yake ya kutoka. Tunataka mafanikio
  14. Chebe17

    JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge avuta jiko tena

    Huyu dada nilimuona IG saloon ya Twaiba anapambwa.. Kumbe alikuwa anaenda olewa!
Back
Top Bottom