Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

Vip kuhusu samsung grandprime na j5 unauza shngap hizo??
Yuko mwenye S4 Active ila iko na cracks kwenye screen, ni kubwa sana ukilinganisha na izo J series, iko na LTE pia...200,000/= alipost humu, ni ushauri tu.
 
1.4 mil usawa huu wa Magufuli unaziwekeza kwenye kilonga longa...
 
Lte au LTE ni aina ya Forth Generation(4G) mobile communications standard. (yenye internet speed ya kasi )

"Watumiaji wa simu zenye LTE 4G network wanafaidika na data speeds ambayo ni up to 10 times faster zaidi 3G network ya sasa "

Simu nyingi za kisasa hasa zinazopatikana kupitia South Afrika ni LTE. na ndio best smartphones.

# SASA unachotakiwa kufanya ni kujipatia smartphone ya ukweli ya Lte kutoka kwangu kwa bei pouwa kabsa(me ni vunja bei). then unaenda kubadili line yako upewe inayosapoti 4G network araf unaanza kufaidi internet speed ya ukweli mwanzo mwisho#

Mimi napatikana Kkoo, ukifika kariakoo sehemu yoyote piga simu #0654776976.utaelekezwa na utafika kwa urahis Ofisini kwetu au utafuatwa ulipo na kuletwa dukani...pia kwa asiyeweza kufika anaweza kuletewa mzigo popote alipo kwa kuchangia gharama kidogo tu ya usafiri( boda boda).

Ninazo Simu mbali mbali za kisasa na zote ni Lte nauza kwa bei chee tu kila mtu afaidi, kwa mfano:
1.Galaxy s7 edge 64GB ambayo inauzwa zaidi ya 1.7mil, mimi nauza 1.4mil
2. Galaxy Note 5 ya 32GB ambayo inauzwa 1.6mil, mimi nauza 1.2mil.
3. Sony Xperia z5 ya 32GB ambayo inauzwa 1.1mil, mimi nauza 800k
4.Iphone 6s ya 64GB ambayo inauzwa 1.8mil, mimi nauza 1.4mil
5. Lg G4 ya 32GB ambayo inauzwa 900k mie nauza 650k
Hiyo ni mifano tu Simu zipo nyingi.

Karibuni saana.

vunja BEI. 0654776976.
vieloon@gmail.com
a221e350465c5c011c8603151c8907f9.jpg
a21523c0d98eba713e439a8512c7f231.jpg
2d93ec44572a352b2fbfd6a5baed2d11.jpg
mobile-gallery
 
Kwa kuongeza nyama kwenye Uzi wako ungeongeza maneno kidogo. Je,ni aina gani za simu unazo? Na bei yake pia. Watu wangevutiwa zaidi
 
Mi nataka case ya note 5 pamoja na kioo cha mbele na nyuma
Case zipo za ukweli Kiongozi aina mbali mbali. Kwa kusema kioo una maanusha "glass protector" ? Kama ndivyo basi note 5 zina vioo vya mbele tu hakuna vya nyuma... nichek 0654776 976.
Mfano wa case 1:
e011b237e7088c459d1cf9c64bc8c70e.jpg
 
Case zipo za ukweli Kiongozi aina mbali mbali. Kwa kusema kioo una maanusha "glass protector" ? Kama ndivyo basi note 5 zina vioo vya mbele tu hakuna vya nyuma... nichek 0654776 976.
Mfano wa case 1:
e011b237e7088c459d1cf9c64bc8c70e.jpg
Unazifahamu note 5 kweli kaka? Namaanisha kioo
 
Kama kawaida VUNJA BEI, nauza cheap....Galaxy S7 Edge mpyaaaa Gold Color, 64GB+4GB ram...
Bei 1.4mil save zaid ya 300k

Pia nina Smartphones nyingne ambazo ni Top best on Mobile Market nauza kwa bei nzuri had utashangaa.
If interested, call/beep/text or whatsapp # 0654776976
email: vieloon@gmail.com
6a2093ccffd8d37b19f06fb348cbb876.jpg
26eb928db8118d340b6bef6c69cc2bb7.jpg
23bbcac3cf7ca9f9717c1a1c1192f8e4.jpg
00b927bfc01c6eef2278a09cc2509be1.jpg

1.4mil? Nikileta mpya kabisa ipo kwenye cover yake na niya ulaya nitauza ngapi?
GB 64
 
...hizo simu za Samsung wanasema battery zake huwa hazikai na chaji, ni kweli?
 
1.4mil? Nikileta mpya kabisa ipo kwenye cover yake na niya ulaya nitauza ngapi?
GB 64
Inategemea na price unayoamua kuuza c unajua biashara huria siku hizi....ila kwa kukuelimisha tu ufahamu hakuna samsung ya ulaya...Samsung zote OG zinatengenezwa Korea au Vietnam.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom