Wafuasi wengi wa act ni wale wasaka madaraka ambao wanaona hawatapata nafasi ya kuteuliwa kugombea ubunge na vyama vyao hasa wanachama wa chadema haipo huo ndo mtaji wa act. Nawaombea sana ukawa muungano wao udumu nahisi wakifanikiwa watatutoa Watanzania Hapa tulipo.
Aisee nyie nyumba yenu yawaka moto maskio kwatu kwa jirani. Hawa wanaojidai kuweka mapandikizi kwenye CDMA hawatafanikiwa waambieni watz wa sasa sio wa Enzi zile za kina wassira tunajitambua na sasa ni ukiwa kwenda mbele tunataka mabadiliko.
Nimemsikia bwana Mdava kwa makini na madai yake kuwa kajitolea hela nyingi kuchangia chama ili chama kikishika hatamu ili wafa.... Hapa akawa anababaika ila lenge lake lilikuwa ni kufaidika ss watu kama hawa hawafai kuwa viongozi ni mamluki!! Watanzania shime alaykum tuungane kuwaondoa hawa...
Halafu mijitu inakuja ohh mwenyekiti hafai ajiuzuru sijui katibu hafai waende ss ccm Si tunataka mabadiliko chini ya wana mabadiliko wa ukweli. Zitto ndo bye bye mnafiki mkubwa
omba sasa papuchi wewe utaambiwa oohh baby mbona bado mapema sana!!! Kuwa mvumilivu una wasi wasi gani!!! Na wewe mnyime sasa anakuchunia moja kwa kwa moja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.