Nape Nnauye atumwa kuiokoa CCM kata ya kiborloni.

Nape Nnauye atumwa kuiokoa CCM kata ya kiborloni.

Bm_boy

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
547
Reaction score
348
Habari wana JF Zikiwa zimebaki siku kama 4 za chaguzi ndogo za kata ikiwepo kata ya kiborlon ambayo nayo uchaguzi wake umerudiwa baada ya alie kua diwani wa kata ya kiborlon Mh Vicent Rimoi kufariki. Leo ikiwa ni mwendeleo wa wa kampeni CCM imekishwa waleta makada maarufu wa chama kama Chami, Magembe, Naibu waziri wa Tamisemi Mwandri Nae alifika jana ili kuongeza nguvu na baada yakuona bado kata imekua ngumu. leo wamemtuma Nape Nnauye kubadilisha vuguvugu.

My Take.
Wakina Nape kweli wanajua wanacho kifanya walieneza propaganda kua Chadema ni chama cha kaskazini Leo wanatafta nn huku.... Na kwa propaganda hizo mzee ndesa aapa kuihamisha CCM kilimanjaro.
 
Si wanadai kwamba Wachagga chama chao ni Chadema, sasa wao wanakwenda kufanya nini kwa wachagga? Ukitaka kujua watu walioishiwa hoja, basi ni chama cha mizigo.
 
Habari wana JF Zikiwa zimebaki siku kama 4 za chaguzi ndogo za kata ikiwepo kata ya kiborlon ambayo nayo uchaguzi wake umerudiwa baada ya alie kua diwani wa kata ya kiborlon Mh Vicent Rimoi kufariki. Leo ikiwa ni mwendeleo wa wa kampeni CCM imekishwa waleta makada maarufu wa chama kama Chami, Magembe, Naibu waziri wa Tamisemi Mwandri Nae alifika jana ili kuongeza nguvu na baada yakuona bado kata imekua ngumu. leo wamemtuma Nape Nnauye kubadilisha vuguvugu.

My Take.
Wakina Nape kweli wanajua wanacho kifanya walieneza propaganda kua Chadema ni chama cha kaskazini Leo wanatafta nn huku.... Na kwa propaganda hizo mzee ndesa aapa kuihamisha CCM kilimanjaro.

Halafu akishaihamisha?
 
Kama kuna vipofu ni maccm, huyo kijana wao waliomweka kuugombea huo udiwani walimwuliza kafanya nini kwenye kata hata mara moja tu? Aliwahi hata kukaa karibu na wananchi wake au ni jeuri ya senti hizo zinazitumwa na ccm kutoka dar?? Nafikiri kama ccm inataka kufanya chochote mahali popote wangeanza kujiandaa kwa kutoa vijizawadi zawadi vidogo vidogo sasa hivi kwa walala hoi sio kungojea ati kuna uchaguzi fulani ndiyo wanaleta watu ka Nape kuja kumpigia kampeni mtu wao. Nape hajawahi fika hapo hata mara moja tu akipita tangu uchaguzi 2005 leo kuna nini? Hiyo kata haina haja ya maneno inahaja na yaliokwisha tendwa yakaonekana. Ahadi hewa haina nafasi kule.
Tafuteni waliokufa macho hukoooo kwa njaa zao sio kata kama hii. Huyo mgombea wa cdm ni mtoto wa watu, kafanya vitu pale, kawaletea amani baada ya kukomesha wizi pale wewe wa ccm umefanya nini? Nape usipoteze sauti yako bure
 
Rai kwa wapenda madiliko kuwa kazi ni moja tu.Hata wakimwomba JK aje awasaidie.
 
Halafu akishaihamisha?

Ndio MaCCM wafahamu kua hizi propaganda wanazo zianzisha za udini ukabila na ukanfa zinaathari. na kwa kutumia propaganda hiyo ya ukanda itatumika kuimaliza CCM kaskazini...
 
Hawa si waliishaaibishwa pamoja na yule handsome wasira?
 
Hakika CCM wanavuna walichopanda wenyewe, na kamwe wasimtafute mchawi, mchawi ni wao wenyewe. Hizo biashara za matusi wanazihubiri wao wenyewe majukwaani tangu enzi ya Luteni mstaafu Rajabu Yusufu Makamba (aliyekuwa katibu mkuu), leo wanavuna mazao yao. Nakumbuka Makamba(mzee) alivyoendesha kampeni uchaguzi mdogo Tarime baada ya kufariki kwa Chacha Wangwe (Mwenyezi Mungu amrehemu), kwa matusi na kejeri nyingi kwa wananchi ambao ndio wapiga kura, mwisho wa siku anajua alichovuna, leo hii yuko wapi? Yuko kamanda wa polisi Balo.

Hizi chuki na kejeli na maneno ya utengano yaliyoasisiwa na akina Makamba hayawezi kuisha ndani ya CCM kabla chama hakijafa (kuondolea madarakani) na kusambaratika ili wajipange upya. Angalieni kama wale mabigwa wa matusi akina Lusinde a.k.a Kibajaji eti naye mbuge kupitia ccm, kweli ndio vijana waloasisiwa na Makamba na eti ndio hazina ya chama.

[MENTION]Nape[/MENTION] kila kukicha amekuwa akitamba majukwaani akitutangazia kuwa CDM ni chama cha wachaga, sasa huko anaenda kuwaambia nini.

Ila kweli katiba mpya ije haraka na nafasi ya mawaziri wabunge iondoke, maana hao akina Mwanri na wenzake sio kwamba hakuna kazi ofisini la hasha ila ndio na usikute anatumia pesa ya uma kufanya kazi ya chama chake. Ooooooooooohhh pole CCM uchaguzi mdogo wa udiwani tu, lakini nguvu mnayotumia hadi huruma. Bye ccm kapumzike.
 
Back
Top Bottom