Ni nani Wassira anahisi akihama CHADEMA itayumba?

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,832
Hili ni swali muhinu sana kwani kumekuwa na wimbi la thread zinazoishia hewani kwamba fulani kahama chadema na longolongo kibao lakini CDM inaendelea kuchana vijiji!

Ni nani hasa akihama chadema ndio wassira ataibuka kushangilia na kusema chadema imekufa?

So far wasaliti wote waliotajwa ndio wanaofungasha virago!
 
Maccm yanahaha sana hayana jipya...

wasaliti wanazidi kuondoka
 
Maccm yanahaha sana hayana jipya...

wasaliti wanazidi kuondoka
watuhumiwa wote wa usaliti ndio wanaohama!wote waliotuhumiwa kuwa ACT wanajitokeza ....hii inaifanya intelligence ya CDM kuwa more reliable
 
Albert msando,zitto,mkumbo,mwigamba au shibuda?
 
As long Mbowe na Slaa wako pamoja huku wakisaidiwa na makamanda Mnyika, Lisu, Lema, Msigwa et al... CDM itaendelea kung'ara milele daima...
Hili ni swali muhinu sana kwani kumekuwa na wimbi la thread zinazoishia hewani kwamba fulani kahama chadema na longolongo kibao lakini CDM inaendelea kuchana vijiji!

Ni nani hasa akihama chadema ndio wassira ataibuka kushangilia na kusema chadema imekufa?

So far wasaliti wote waliotajwa ndio wanaofungasha virago!
 
Ndo maana wasira na mwiglu walikuwa wakisema kwa kujiamini cdm itakufa kabla ya 2015 kumbe Ilikuwa ni planned game eeh?.
 
Kinyume chake inafufuka,nimeshuhudia hii kitu inaitwa chadema ni msingi nimeisikitikia ccm
 
Leo wamefanya mkutano morogoro ni aibu tupu act wanahutubia vumbi
 
Hili ni swali muhinu sana kwani kumekuwa na wimbi la thread zinazoishia hewani kwamba fulani kahama chadema na longolongo kibao lakini CDM inaendelea kuchana vijiji!

Ni nani hasa akihama chadema ndio wassira ataibuka kushangilia na kusema chadema imekufa?

So far wasaliti wote waliotajwa ndio wanaofungasha virago!

Waambie Dr.W.Slaa na Mbowe wamuombe msamaha Zitto. Nje ya UKAWA chadema hakuna kitu, kwisha kazi.
 
Last edited by a moderator:
Na hawafiki hata 63 hao wasaliti bora wang'oke maana 2015 tunataka tubaki tujitambuao
 
Mzee wa gombe WMA na ndo think tank la checheme. Maajabu wanamtegemea na siasa za kizamani zilizofail. Where is Jack Zhoka. Chezea cdm weye
 
Hili ni swali muhinu sana kwani kumekuwa na wimbi la thread zinazoishia hewani kwamba fulani kahama chadema na longolongo kibao lakini CDM inaendelea kuchana vijiji!

Ni nani hasa akihama chadema ndio wassira ataibuka kushangilia na kusema chadema imekufa?

So far wasaliti wote waliotajwa ndio wanaofungasha virago!

Chadema hakitakufa kamwe Chaguzi ndio zinaendelea na wasaliti wanatimua mbio kuogopa aibu. Chadema ndio inaimarika zaidi.
 
Hili ni swali muhinu sana kwani kumekuwa na wimbi la thread zinazoishia hewani kwamba fulani kahama chadema na longolongo kibao lakini CDM inaendelea kuchana vijiji!

Ni nani hasa akihama chadema ndio wassira ataibuka kushangilia na kusema chadema imekufa?

So far wasaliti wote waliotajwa ndio wanaofungasha virago!

Why WASIRA? ni tishio sana kwa CDM?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom