Recent content by CHE Raptino

  1. CHE Raptino

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Bilali Mashauzi afariki dunia

    Kumbe wafirwaji mpo wengi!!
  2. CHE Raptino

    JamiiForums Tanzania Four 27 ualimu

    Kwa nini unataka kusoma ualimu?
  3. CHE Raptino

    JamiiForums Tanzania Kwanini Honey Badger akiumwa na Nyoka wa aina yoyote huwa hafi bali huzimia kwa muda tu

    Akifika kwenye mzinga wa nyuki hula asali yote na sumu ya nyuki pia haimuathiri, hiyo pia ni sababu ya kuitwa honey badger!!
  4. CHE Raptino

    JamiiForums Tanzania Kwanini Honey Badger akiumwa na Nyoka wa aina yoyote huwa hafi bali huzimia kwa muda tu

    Nguchiro ni tofauti na nyegere, kwa suala la kula kuku nyegere hukata shingo za kuku na kuwanyonya damu yote. Akiingia bandani kama kuna kuku wengi atawakata vichwa na kuwanyonya damu kabla ya kula nyama.
  5. CHE Raptino

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane pea ya wachezaji watukutu wakikutana ilikiwa ni vita haswa

    Asante Kwasi Vs Kelvin Patrick Yondani "cotton"
  6. CHE Raptino

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuwafanye hivi wanawake wasiokua na mapenzi ya dhati

    Asante kwa somo zuri
  7. CHE Raptino

    JamiiForums Tanzania Kwanini Honey Badger akiumwa na Nyoka wa aina yoyote huwa hafi bali huzimia kwa muda tu

    Yeah, huwezi msogelea mpenziwe!!
  8. CHE Raptino

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kupimiwa utamu

    Ushatafutiwa mwenzako!!!
  9. CHE Raptino

    JamiiForums Tanzania Natamani kufanya naye mapenzi ila hanielewi

    Tafuta demu ugonge wewe usijifanye unajua sana kupenda utakuja juta baadae!!!
  10. CHE Raptino

    JamiiForums Tanzania Kwanini Honey Badger akiumwa na Nyoka wa aina yoyote huwa hafi bali huzimia kwa muda tu

    Nyegere ni shida, nahisi sumu ya nyoka ni kilevi tu kwa honey budger
  11. CHE Raptino

    JamiiForums Tanzania Vilio vyatanda kuagwa kwa mwili wa mtoto aliyechomwa kisu na dada yake na kufichwa uvunguni

    Lazima kuna sababu!! Ila kitendo alichofanya Delta si sahihi
  12. CHE Raptino

    JamiiForums Tanzania Mwanasimba popote ulipo anza kushangilia kwani wameshauvagaa ' mtego ' wenyewe Morogoro

    Wakimaliza kubweka 29/4 jioni watafyata mkia
  13. CHE Raptino

    JamiiForums Tanzania Kukaribisha jf

    Karibu sana
  14. CHE Raptino

    JamiiForums Tanzania Arsene Wenger kuacha kuinoa Klabu ya Arsenal mwisho wa Msimu huu 2017/18

    Bora lile zimwi lisepe
Back
Top Bottom